Now days kila mtu anauza viwanja ,Tatzo mnafanya hivi vitu vipande bei sana mpaka hakuna uhalisia wa eneo na bei.
KWA Sasa ni bora ununue shamba nje ya mji KWA maekari KWA bei Chee ufanye uwekezaji,Sasa kweli mi nawekeza nn kiwanja cha 20×20?
Yani hapo ni Manzese ya badae.
Nunua eneo kubwa KWA future uje ugeuze kia eneo la kurelax na ujasiriamali,hivi viduchu vya 20×20 ni unatupa hela tu