Viwanja Vinauzwa

Viwanja Vinauzwa

Ortega

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
844
Reaction score
209
#ViwanjaVinauzwa
📍Vipo Km 3 kutoka Round about ya Goba Njia nne.
461 SQM - 7,000,000
477 SQM - 7,500,000
480 SQM - 7,500,000
598 SQM - 9,000,000
656 SQM - 10,000,000
679 SQM - 10,500,000
728 SQM - 11,000,000

👉 Contact/WhatsApp
0712 787 939
 
Sawa uzeni tuu sisi tutakuja kununua kwa watakaojenga nyumba
 
Now days kila mtu anauza viwanja ,Tatzo mnafanya hivi vitu vipande bei sana mpaka hakuna uhalisia wa eneo na bei.
KWA Sasa ni bora ununue shamba nje ya mji KWA maekari KWA bei Chee ufanye uwekezaji,Sasa kweli mi nawekeza nn kiwanja cha 20Ă—20?


Yani hapo ni Manzese ya badae.

Nunua eneo kubwa KWA future uje ugeuze kia eneo la kurelax na ujasiriamali,hivi viduchu vya 20Ă—20 ni unatupa hela tu
 
Back
Top Bottom