Plot for sale Mbezi Beach
Location: Mbezi ya Chini, Almasi Street.
Size: Sqm 800
Price: 200Mln
0712787939
Plot for sale Mbezi Beach
Location: Mbezi ya Chini, Tanga Street.
Size: Sqm 876
Price: 200Mln
0712787939
Plot for sale Mbezi Beach, Location: Masana Road
Size: Sqm 1750
Price: 850Mln
0712787939
Plots for sale Mbezi Beach
Location: Mbezi Beach Going (Near Masana Hospital)
Viko mita 100 kutoka Bagamoyo Road.
Sqm 1 shilingi 200,000
Vinafaa kwa makazi na Biashara
0712787939
KIWANJA CHA MAKAZI KINAUZWA DAR ES SALAAM
Kiwanja kipo Mbweni Ubungo, Manispaa ya Kinondoni Dar es salaam,
Kiwanja kina ukubwa wa sqm1200 kimepimwa na kutambuliwa na Manispaa ya Kinondoni na wizara ya Ardhi na taratibu za kupata hati zitaendelea kwa mteja atakayenunua ili hati itoke kwa jina lake.
Kiwanja hiki kinafaa kwa ujenzi wa nyumba binafsi ya Makazi, Apartments, Hotel n.k
Bei ya kiwanja hiki ni 130mil tsh na maongezi yapo.
NB: Mmiliki anakubali malipo ya awamu kwa namna watakavyokubaliana na mteja
VIWANJA VYA MAKAZI KISEMVULE MKOA WA PWANI
Viwanja vizuri vilivyopangwa kisasa vinauzwa Kisemvule wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani, viwanja vina ukubwa wa 40ft × 50ft na vipo jirani na Barabara kuu ya Kilwa, kutoka stand ya bus Kisemvule mpaka kwenye viwanja ni 1.5km tu, Bajaji tsh 500, bodaboda tsh1000 mpaka kwenye viwanja na unaweza kutembea kwa miguu pia.
Viwanja vipo jirani na huduma zote muhimu za kijamii ikiwemo, Maji, Umeme, Zahanati, Shule ya msingi na secondary, kituo cha Polie, Miundombinu ya barabara inayopitika nyakati zote n.k
Kutoka Gerezani Kariakoo mpaka Kisemvule nauli ya Daladala ni tsh 850 tu.
Bei ya kila kiwanja ni Tsh mil 3.5 tu, na unaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.
Usikubali kupitwa na fursa hii ya kumiliki Ardhi kwa gharama nafuu.
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA[emoji91][emoji91][emoji91].
-Mahali-Mabwepande-Dsm.
-Ukubwa Sqm 1024.
-Kipo barabarani pia ni Tambarare.
-Huduma za Kijamii zote zipo kipo Jirani na Hospitali Mpya ya Wilaya na kituo Cha Polisi Mabwepande.
-Hati Miliki Safi ipo.
Bei:Milioni 35 Fixed Price.
NYUMBA 2 KWENYE ENEO MOJA ZINAUZWA BUNJU B MAZINGIRA-DSM.
1.Vyumba 04 Kimoja Master, Sebule, Dinning Room,Jiko,Stoo, Public toilet,Tiles, Gypsum,Madirisha ya Ku-Slide.
2.Vyumba 2,Master 1,Sebule na Jiko.
-Umeme na maji vipo Nyumba zote 2 Kubwa na ndogo.
-Eneo kwa Ajili ya Parking Lipo,Bado Fence.
-Ukubwa wa kiwanja Sqm 700.
-Umbali toka barabara ya lami Bagamoyo Road ni Mita 150 tu Nyumba ipo barabarani.
-Mtaa Umejengeka Sana ni Pa-Kishua.
Bei: Milioni 130, Nyumba zote Mbili Maongezi Yapo.
NB:
Service charge Tsh 30,000/=
VIWANJA VITATU VYA MALIPO YA AWAMU 2 VINAUZWA MABWEPANDE-DSM
1.Ukubwa Mita 25 kwa 25,Kipo Mabwepande Jirani na NSSF.
-Kiwanja kipo kwenye Kona barabara 2 Pazuri mno.
-Umeme na maji vipo.
Bei:Mil 8, Kianzio Mil 5.
2.Kiwanja Kipo Mabwepande-Manzese Street.
-Ukubwa Mita 30 kwa 40 kinatazama Barabara.
-Huduma zote za Kijamii zipo na ni Tambarare.
Bei: Milioni 12,Kianzio Mil 7.
3.Kiwanja Kipo Mabwepande-Saccos Street.
-Ukubwa 25 kwa 25.
-Barabara mpaka site.
-Umeme na maji vipo.
Bei:Milioni 9,Anza na Mil 5.
MUHIMU
-Service Charge Tsh 30,000/=
Mawasiliano:
Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa Sq500 kinauzwa Bei milioni 27 maongezi