Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Sio mbali na bahari..kwa hiyo kuna upepoView attachment 2286334
Je kuna wakati samaki wanatoroka baharini na kuja hadi kwenye viwanja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mbali na bahari..kwa hiyo kuna upepoView attachment 2286334
Mimi sio samaki wa kuishi Baharini.. Kwenye michanga humo nitapanda miti na kulima?Shida ni nini wew mtu wa njombe...
Naona siku hiz umekuwa chawa rasmi wa Samia[emoji23]
Njoo ununue kiwanja huku Dar toka huko ubaridini Njombe
[emoji3][emoji3][emoji3]Duuh,hukawii kukuta kibao cha unaingia Rufii
Eboo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Je kuna wakati samaki wanatoroka baharini na kuja hadi kwenye viwanya?
Km 45 si mchezo,kuna siku nilikuwa naenda huko kufanya utalii,kanyaga sn mafuta alafu barabara nyeupe ingawa ukipita mjimwema Kwa mbele Tu hapo lami inaisha unakula vumbi .Baada ya kutembea sn Nikafika kijiji fulani nikauliza hapa wapi nikaambiwa hapa kimbij,nikauliza tena buyuni ni karibu nikajibiwa bado sn[emoji3]..Nikaishia hapo hapo kimbiji nikala ugali mgahawani na kupiga misele kadhaa nikarudiDuuh,hukawii kukuta kibao cha unaingia Rufii
Mkuu kimbiji viwanja bei ganiUkitaka pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema kuna upepo wa bahari mtamu sana...
Husishangae jioni unajifungia ndani na jiko la mkaa...mwishowe ufe kwa ukosefu wa hewa..Mimi sio samaki wa kuishi Baharini.. Kwenye michanga humo nitapanda miti na kulima?
Njombe huwezi nitoa.
Naachaje kuwa Chawa wa SSH ikiwa ametupunguzia ushuru kwenye Mazao biashara yetu ya Mazao ya misitu?
Kabisa ni pazuri kwa uwekezaji wa muda mrefu...Km 45 si mchezo,kuna siku nilikuwa naenda huko kufanya utalii,kanyaga sn mafuta alafu barabara nyeupe ingawa ukipita mjimwema Kwa mbele Tu hapo lami inaisha unakula vumbi .Baada ya kutembea sn Nikafika kijijini fulani nikaumiza hapa wapi nikaambiwa hapa kimbij,nikauliza tena buyuni ni karibu nikajibiwa bado sn[emoji3]..Nikaishia hapo hapo kimbiji nikala ugali mgahawani na kupiga misele kadhaa nikarudi
Siku nyingine nilirudi tena rasmi.Ni pazuri Kwa uwekezaji wa baadae.Hata mbagala zamani kulikuwa shamba na Ile kambi ya jeshi ilikuwa mwisho wa mji lkn Leo ipo katikati mji umefika Hadi chamazi huko
Kama ndo hiv basi Dar yote itapotea baada ya miaka 20...watu wa makongo juu labda ndo watasurvive..Mnaojenga Kigamboni, miaka ishiri ijayo mtalia.
Kigamboni ni tambarare, ardhi ikisha jaa nyumba, maji yakashindwa kuzama ardhini, sasa dhahama ya mafuriko ndio itawakumba.
Fuateni agizo la waziri wa ardhi. Safety ya Kigamboni iko kwenye kumilikisha wakazi viwanja vya low density.
Pia kwa sasa wizara iangalie uwezekano wa kupiga marufuku nyumba za Dar kuwekewa paving blocks.
Paving blocks zinablock maji ya mvua yasizame ardhini hivyo kusababisha mafuriko ya mara kwa mara Dar.
Kama mtu anaweka paving, basi asiweke eneo linalozidi 30sq meter kwa ajili ya maegesho ya gari. Eneo linalobaki lipandwe nyasi.
Kigamboni kinachowasaidia until now, ni ile ardhi ya kichanga inayonyonya maji kwa upesi. Njoo Mbweni sasa. Mbweni kuna mwamba chini, kama changarawe flani. Kwa hiyo ardhi hainyonyi maji kwa haraka ndio maana kila siku mafuriko hayaishi.Kama ndo hiv basi Dar yote itapotea baada ya miaka 20...watu wa makongo juu labda ndo watasurvive..
Dar yote haiwezi kupotea, ila mito ndio inazidi kutanuka. Embu ona mto Segerea. Pita kule seminary. Wakati huo nakaa Tabata ule mto ulikuwa ni mwembamba ungeweza kuuvuka hata kwa kuruka. Sasa hivi mto umetanuka hata daraja 'huwezi kujenga tena'. Wakati wa masika Segerea na Staki shari huwa 'nchi mbili tofauti'.Kama ndo hiv basi Dar yote itapotea baada ya miaka 20...watu wa makongo juu labda ndo watasurvive..
Yap,kama una mbumba unakinunua halafu unasikilizia tuKm 45 si mchezo,kuna siku nilikuwa naenda huko kufanya utalii,kanyaga sn mafuta alafu barabara nyeupe ingawa ukipita mjimwema Kwa mbele Tu hapo lami inaisha unakula vumbi .Baada ya kutembea sn Nikafika kijijini fulani nikaumiza hapa wapi nikaambiwa hapa kimbij,nikauliza tena buyuni ni karibu nikajibiwa bado sn[emoji3]..Nikaishia hapo hapo kimbiji nikala ugali mgahawani na kupiga misele kadhaa nikarudi
Siku nyingine nilirudi tena rasmi.Ni pazuri Kwa uwekezaji wa baadae.Hata mbagala zamani kulikuwa shamba na Ile kambi ya jeshi ilikuwa mwisho wa mji lkn Leo ipo katikati mji umefika Hadi chamazi huko
Kimsingi tutunze mazingira...Dar yote haiwezi kupotea, ila mito ndio inazidi kutanuka. Embu ona mto Segerea. Pita kule seminary. Wakati huo nakaa Tabata ule mto ulikuwa ni mwembamba ungeweza kuuvuka hata kwa kuruka. Sasa hivi mto umetanuka hata daraja 'huwezi kujenga tena'. Wakati wa masika Segerea na Staki shari huwa 'nchi mbili tofauti'.
Mmewalipa wenye mashamba yao au mnapima tu na kutangaza kuuza viwanja?Ni karibu na kimbiji au puna
Daraja litajengwa, inashindikana vipi?Dar yote haiwezi kupotea, ila mito ndio inazidi kutanuka. Embu ona mto Segerea. Pita kule seminary. Wakati huo nakaa Tabata ule mto ulikuwa ni mwembamba ungeweza kuuvuka hata kwa kuruka. Sasa hivi mto umetanuka hata daraja 'huwezi kujenga tena'. Wakati wa masika Segerea na Staki shari huwa 'nchi mbili tofauti'.
Kweli mito inatanuka sana!!!!Kuna mto upo kati ya msewe na chuo kikuuu zamani haukuwa hivi ulivyo kipindi Niko ndogo nasomaDar yote haiwezi kupotea, ila mito ndio inazidi kutanuka. Embu ona mto Segerea. Pita kule seminary. Wakati huo nakaa Tabata ule mto ulikuwa ni mwembamba ungeweza kuuvuka hata kwa kuruka. Sasa hivi mto umetanuka hata daraja 'huwezi kujenga tena'. Wakati wa masika Segerea na Staki shari huwa 'nchi mbili tofauti'.