Km 45 si mchezo,kuna siku nilikuwa naenda huko kufanya utalii,kanyaga sn mafuta alafu barabara nyeupe ingawa ukipita mjimwema Kwa mbele Tu hapo lami inaisha unakula vumbi .Baada ya kutembea sn Nikafika kijiji fulani nikauliza hapa wapi nikaambiwa hapa kimbij,nikauliza tena buyuni ni karibu nikajibiwa bado sn[emoji3]..Nikaishia hapo hapo kimbiji nikala ugali mgahawani na kupiga misele kadhaa nikarudi
Siku nyingine nilirudi tena rasmi Buyuni.Ni pazuri Kwa uwekezaji wa baadae.Hata mbagala zamani kulikuwa shamba na Ile kambi ya jeshi ilikuwa mwisho wa mji lkn Leo ipo katikati mji umefika Hadi chamazi huko