Plot4Sale Viwanja vya bei rahisi Kigamboni karibu na bahari

Plot4Sale Viwanja vya bei rahisi Kigamboni karibu na bahari

Huu utafiti umeufanyia wapi mkuu? Na lini?

Sehemu yeyote yenye ya mchanga ni ngumu sn kuwa na mafuriko maana maji yanazama chini mojakwa moja mvua inaponyesha. Ningekuelewa point yako km ardhi ya kigamboni na eneo la wilaya ya mkuranga ingekuwa ya mfinyanzi maana maji hayaingii chini( hutuama baada ya mvua kunyesha)

Kuna kitu labda unatakiwa ujue;kigamboni ni moja Kati ya miji mikongwe dsm.hata Baba wa taifa alishawahi kukimbizwa kigamboni kujificha alipotaka kupinduliwa. Enzi hizo..

Yaani to make the story short namaanisha hivi;kingamboni zipo shemu za uswahilini km keko nyingi Tu,achana na miji mipya ya kisasa iliyopangiwa km kibada.Sehemu za uswahilini Kama Tungi haizjawahi kuwa na mafuriko miaka na miaka (ingawa madimbwi yanakuwepo baada ya mvua maana ni sehemu isiyopagiliwa haina mitaro)..Kama upo ktk utafiti bado maeneo Tungi hadi ferry na mikadi beach na Geza ulole ambayo yameshajaa tangu miaka ya 80s na almost ni km slum yafanye hayo kuwa benchmark yako
The how part, the methodology is a trade secret. We kula findings tu...
So far, ramani yote ya Dar 'iko kwenye kiganja changu'!
Nimefanya kazi ya sales kwa mda mrefu Dar. Nazijua kona zote za jiji!
 
Duuh,hukawii kukuta kibao cha unaingia Rufii
Kuna dei moja mwaka 2016 jamaa yangu aliuziwa kiwanja huko kigamboni ila alipewa ramani tu akalipia, siku moja akaniambia twende tukaone kiwanja, nlikuwa na gx110 tuliweka lita40 kwenda na kurudi Kimanzichana tuliiacha mbaali sana, nikamwambia "Oi mwana hapa tunatoboa KIBITI 🤣🤣🤣🤣"
Tukafika kwenye kiwanja MAFIA mnaiona palee
 
Kuna dei moja mwaka 2016 jamaa yangu aliuziwa kiwanja huko kigamboni ila alipewa ramani tu akalipia, siku moja akaniambia twende tukaone kiwanja, nlikuwa na gx110 tuliweka lita40 kwenda na kurudi Kimanzichana tuliiacha mbaali sana, nikamwambia "Oi mwana hapa tunatoboa KIBITI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"
Tukafika kwenye kiwanja MAFIA mnaiona palee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakin huku buyuni mbona kuna watu kabisa...


Maana kuna kicentre kikubwa kabisa
 
Back
Top Bottom