Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Naishauri serikali ijenge viwanja hivi haraka iwezekanavyo, kwa ajili ya kugombania michezo ya AFCON 2027. Kenya wanajenga viwanja vyao vizuri sana na kuna uwezekano michezo mingi ikachezwa kule kama hatutachangamka. Dodoma wajenge uwanja hata wa watu 30,000 tu, na Arusha 30,000. tukimaliza hivyo tutakua na viwanja bora 4, yaani;
1. Kwa Mkapa capacity ya 60,000
2. Uhuru capacity?
3. Dodoma capacity 30,000
4. Arusha Capacity 30,000 plus advantage ya utalii.
Mungu ibariki Tanzania.
1. Kwa Mkapa capacity ya 60,000
2. Uhuru capacity?
3. Dodoma capacity 30,000
4. Arusha Capacity 30,000 plus advantage ya utalii.
Mungu ibariki Tanzania.