Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Ccm kirumba inapotezewa sana but it’s one of the old and best stedium.Naishauri serikali ijenge viwanja hivi haraka iwezekanavyo, kwa ajili ya kugombania michezo ya AFCON 2027. Kenya wanajenga viwanja vyao vizuri sana na kuna uwezekano michezo mingi ikachezwa kule kama hatutachangamka. Dodoma wajenge uwanja hata wa watu 30,000 tu, na Arusha 30,000. tukimaliza hivyo tutakua na viwanja bora 4, yaani;
1. Kwa Mkapa capacity ya 60,000
2. Uhuru capacity?
3. Dodoma capacity 30,000
4. Arusha Capacity 30,000 plus advantage ya utalii.
Mungu ibariki Tanzania.
Uwanja wa ccm huo. Wacha ccm waujenge wenyeweCcm kirumba inapotezewa sana but it’s one of the old and best stedium.
yaani pale kirumba ni kuongezea tu maboresho, hata hizo bilion 30 wameboreshea kwa mkapa ilikuwa inatosha.Ccm kirumba inapotezewa sana but it’s one of the old and best stedium.
Dodoma Jamhuri tu huwa hawaijazi, kuwapelekea uwanja wa 60k ni bora hizo hela nyingine ukajenge uwanja Mwanza au MbeyaBinafsi sishauri Dodoma ujengwe uwanja wa MASHABIKI/ watazamaji.Elfu therathini.
30000 tu ,...
ILITAKIWA wajengw Angalau uwanja wa watu Elfu 60,000.