The Thugs001
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 434
- 933
- Thread starter
-
- #81
Mkuu karibu kutembelea mradi wetu wa ForodhaniUko sahihi, Kwa mujibu wa sheria ya Mipango miji ya mwaka 2018, hatuna kiwanja cha Square meter 200. Hapo kinachozalishwa ni Planned Squatter,
Wazo lao la Mradi ni zuri lakini wajitahidi kuzingatia Sheria na Miongozo ya Upangaji Miji.
Hawa ni matapeliKwa mtu asiyejua vipimo akiambiwa ft 40x50 atajua kiwanja ni kikubwa kumbe ni kidogo hata nyumba ya maana haiingii
Mkuu mbona unatutusiHawa ni matapeli
Mkuu kitu kama akijakupendeza wewe ni vizuri kuacha tuHawa ni matapeli
Nimekutumia link za page zetu inbox kwakoHawa ni matapeli
Mkuu unambiwa vipi? Wakati na wewe upo saiti na unaona kwa macho yako mawili?Kwa mtu asiyejua vipimo akiambiwa ft 40x50 atajua kiwanja ni kikubwa kumbe ni kidogo hata nyumba ya maana haiingii
Hoja yangu ni Kwamba kwa mujibu wa Sheria ya Mipango Miji ya mwaka 2018, Hakuna kiwanja cha Square Meter 200, Hivyo viwanja inabidi uvikute kwenye Makazi holela yasiyopangwa, Huwezi panga eneo halafu ukaweka kiwanja cha Square meter 200.Mkuu karibu kutembelea mradi wetu wa Forodhani
Huwezi kununua sqm 200 ktk block ya sqm 400 au sqm800
Kila mtaa una viwanja vyake na location yake
Karibu sana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwahi kujua kama kuna viwanja vya mil 1 dar tena vimepimwa
For sure mkuu ipo haja kubwa sanaIPO HAJA KWA UONGOZI WA KITAIFA KUONA JINSI GANI ITAWEZA KULIPANUA ZAIDI JIJI LA DAR ES SALAAM.
Hati ya Serikali ya kijijiJe hati ni ya wizarani? Au
Sawa sawa tunavihitaji ila pesa hakuna0754-553380
FORODHANI SMART CITY
inakuletea OFFER Kabambe ya viwanja vya makazi kwa bei nafuu, Wahi mapema,
BEI SASA NI MILIONI MOJA NA LAKI TATU (1300000) TU . Ni Viwanja vizuri sana VIMEPIMWA,
UKUBWA kwa kila kiwanja ni Futi 50 X 40 mil 1.3, futi 80 X 50 (SQM 400)milion 2.6, futi 100 X 80 (SQM 800)milion 5.2.
Viwanja vipo kisemvule mbele kidogo ya mbagala.
Vimezungukwa na huduma muhimu jirani, Umeme upo jirani, Maji yapo, Eneo la
Shule limetengwa, Eneo la Stendi limetengwa Eneo la kituo cha afya limetengwa, Eneo la Soko n.k Mji ni wa kisasa zaidi
USAFIRI NI UHAKIKA , kuna daladala za kutoka Gerezani hadi Kisemvule, Tandika hadi Kisemvule, Temeke hadi Kisemvule, kivukoni hadi kisemvule n.k
FIKA KISEMVULE piga namba.0754-553380 utapelekwa mpaka kwenye mradi wetu bure. Njoo ulipie kiwanja chako, KWA AWAMU TUNAPOKEA .
USAFIRI NI BUREEE NA KUNUNUA HADI URIDHIKE MWENYEWE.
MAWASILIANO..[emoji116] 0754-553380
AU TEMBELEA PAGE YETU
Viwanja_pwani
Viwanja_pwani
Viwanja_pwaniView attachment 2923077
mkuu ivi kuna viwanja chini ya sqm 400 vinaweza pimwa kweli yaani foot 40 kwa 50 ni sqm 180 yaan 15M kwa 12M sheria inasemaje kupima viwanja vya sqm 180Eneo la makazi lenye ukubwa wa futi 50 Γ 40 ni milion 1 na laki tatu za Kitanzania
Unalipia nusu yake yanii 650000/= unapata mkataba wa malipo ya awali after unaweza kulipia Pole Pole 650000/= iliyobaki ndani ya miezi 4
Na ukichuka double ya 50 Γ 40 mara mbili inakuwa ni 2600000/= utalipia asilimia 50% yake pia then unaendelea Taratibu ndani ya miezi 4
Unaweza kunipigia au kufika offisni kwetu kisemvule kwa maelezo zaidi KUPELEKWA SAITI NI BURE kwa usafiri wa kampuni
Karibu SANA 0754553380
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ukiona mradi una foot 40 kwa 50 ambazo ni sqm 180 yaan chini ua 400 kuna mashaka apo ivyo viwanja haviwezi kupimwaHoja yangu ni Kwamba kwa mujibu wa Sheria ya Mipango Miji ya mwaka 2018, Hakuna kiwanja cha Square Meter 200, Hivyo viwanja inabidi uvikute kwenye Makazi holela yasiyopangwa, Huwezi panga eneo halafu ukaweka kiwanja cha Square meter 200.
Sina shida na Lengo zima la Mradi, na mimi sikumoja nitakuja kuwatembelea kwa ajili ya kujifunza na ikibidi kujitwalia kiwanja Jirani na Jiji la Dar es Salaam.