chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma.
Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage.
Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa pale ni kuwakebehi na kuwaumiza. Huyu mtu kaua biashara nyingi, hoteli zikageuzwa hostel, wafanyabuashara wakafungwa jela, wakakimbia nchi,wakafunga biashara!
Hapana, hilo sanamu lipelekwe hata Burigi hifadhini au uwanja was ndege chatu au sumbawanga,katavi au kigoma ambako hakuna masanamu ya viongozi