2016 TANTRADE waliwakilisha mpango mzuri sana wa kuboresha viwanja vya Sabasaba lakini mwendazake aliwakatalia tena kwa ukali akawambia wajengee viwanda hizo hela za maboresho.Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu LA JPM? JPM atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage.
Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na JPM, sanamu hili kuwekwa pale ni kuwakebehi na kuwaumiza. Huyu mtu kaua biashara nyingi, hoteli zikageuzwa hostel, wafanyabuashara wakafungwa jela, wakakimbia nchi,wakafunga biashara!
Hapana, hilo sanamu lipelekwe hata Burigi hifadhini au uwanja was ndege chatu au sumbawanga,katavi au kigoma ambako hakuna masanamu ya viongozi
🤣🤣🤣Tunaomba na sanamu la Sabaya pia.
Yawekwe pamoja majemedari wetu..
Napendekeza liwekwe pale Mirembe kama kumbukumbu maalum sana!Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu LA JPM? JPM atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage.
Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na JPM, sanamu hili kuwekwa pale ni kuwakebehi na kuwaumiza. Huyu mtu kaua biashara nyingi, hoteli zikageuzwa hostel, wafanyabuashara wakafungwa jela, wakakimbia nchi,wakafunga biashara!
Hapana, hilo sanamu lipelekwe hata Burigi hifadhini au uwanja was ndege chatu au sumbawanga,katavi au kigoma ambako hakuna masanamu ya viongozi
Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu LA JPM? JPM atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage. Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na JPM, sanamu hili kuwekwa pale ni kuwakebehi na kuwaumiza. Huyu mtu kaua biashara nyingi, hoteli zikageuzwa hostel, wafanyabuashara wakafungwa jela, wakakimbia nchi,wakafunga biashara! Hapana, hilo sanamu lipelekwe hata Burigi hifadhini au uwanja was ndege chatu au sumbawanga,katavi au kigoma ambako hakuna masanamu ya viongozi
Liwekwe chato Nje ya kaburi lakeViwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu LA JPM? JPM atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage.
Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na JPM, sanamu hili kuwekwa pale ni kuwakebehi na kuwaumiza. Huyu mtu kaua biashara nyingi, hoteli zikageuzwa hostel, wafanyabuashara wakafungwa jela, wakakimbia nchi,wakafunga biashara!
Hapana, hilo sanamu lipelekwe hata Burigi hifadhini au uwanja was ndege chatu au sumbawanga,katavi au kigoma ambako hakuna masanamu ya viongozi
Yaani hilo sanamu lazima niliibeViwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu LA JPM? JPM atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage.
Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na JPM, sanamu hili kuwekwa pale ni kuwakebehi na kuwaumiza. Huyu mtu kaua biashara nyingi, hoteli zikageuzwa hostel, wafanyabuashara wakafungwa jela, wakakimbia nchi,wakafunga biashara!
Hapana, hilo sanamu lipelekwe hata Burigi hifadhini au uwanja was ndege chatu au sumbawanga,katavi au kigoma ambako hakuna masanamu ya viongozi
WAZO zuri mkuu ila kabla ya yote,TUNATAKA KATIBA MPYAViwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu LA JPM? JPM atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage.
Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na JPM, sanamu hili kuwekwa pale ni kuwakebehi na kuwaumiza. Huyu mtu kaua biashara nyingi, hoteli zikageuzwa hostel, wafanyabuashara wakafungwa jela, wakakimbia nchi,wakafunga biashara!
Hapana, hilo sanamu lipelekwe hata Burigi hifadhini au uwanja was ndege chatu au sumbawanga,katavi au kigoma ambako hakuna masanamu ya viongozi
Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu LA JPM? JPM atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage.