Viwanja vya ndege vinazungukwa na mashamba migomba au miti kuruhusu ndege kutua kwa dhalula salama

Viwanja vya ndege vinazungukwa na mashamba migomba au miti kuruhusu ndege kutua kwa dhalula salama

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Kuna tetesi kwamba kuna maelekezo kutoka kwa waongoza ndege kumweleza rubani wa ndege ya precision kutua kwenye maji nani alikuambia sehemu salama.

Kama blackbox kutakuwa na communication itaeleza kwamba rubani alielekezwa apeleke kwenye maji waongazaji ndege wanatakiwa kuchapwa viboko 24 ,12 vya kuingia rokapu,12 vya kutoka wakawaonyeshe wake zao.
 
Ni kweli Dubai, china na USA wame jaza majaruba kuzunguka viwanja vya ndege
 
Hivi unajua kwamba kwa ajali ya ndege kuangukia kwenye maji ndio salama zaidi kuliko nchi kavu.? na ndio maana ya zile life jackets wanazotangaza kabla ya ndege haija take off
Tunatakiwa kuzungumzia kushindwa kuwaokoa kwenye maji sio kutua majini.Ingeanguka nchi kavu ingelipuka hapo hapo na wote kufariki
 
Achana nae...!
 
Uliza hao wote wamefia wapi?walipotua kwenye maji au angani msikurupuke kuandika nonsense zenu
 
Back
Top Bottom