Serikali zao zipo makini sana na watendaji wenye kutumia bongo zao vyema..Ni kweli Dubai, china na USA wame jaza majaruba kuzunguka viwanja vya ndege
Achana nae...!Hivi unajua kwamba kwa ajali ya ndege kuangukia kwenye maji ndio salama zaidi kuliko nchi kavu.? na ndio maana ya zile life jackets wanazotangaza kabla ya ndege haija take off
Tunatakiwa kuzungumzia kushindwa kuwaokoa kwenye maji sio kutua majini.Ingeanguka nchi kavu ingelipuka hapo hapo na wote kufariki