Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 893
- 2,721
Umeuliza swali zuri ila wacha wauwawe, maana nasi walitu agua wakati Vita inaanza ktk vituo vya ukraineHivi broo, kama mwizi anafukuzwa huko na kwa bahati mbaya au nzuri akachukua uelekeo wa nyumbani kwako lakini akadakwa kabla hajaweza kuingia hapo kwako, wewe utahusishwaje na mwizi huyo?
Unadhani wewe kijana wa TANDIKA una akili mingi sana kuliko Jamhuri nzima ya Russia?Lakini awe makini isije ikamfedhehesha kama ile OP ya 72hrs. ambayo sasa ni 3yrs. Mrusi ni mdhaifu sana kimahesabu - he is very poor in mathematical calculations.
HahaUnadhani wewe kijana wa TANDIKA una akili mingi sana kuliko Jamhuri nzima ya Russia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnatia huruma sana .nani kawaambia mkashambulie watu wasiyo na hatia huko MoscowPia usisikitike urusi anapopigwa kwa namna yoyote. Vita ni vita eti.
Wale ni wa Tajikistan,problem imekua walikua hapo Ukraine.Hivi broo, kama mwizi anafukuzwa huko na kwa bahati mbaya au nzuri akachukua uelekeo wa nyumbani kwako lakini akadakwa kabla hajaweza kuingia hapo kwako, wewe utahusishwaje na mwizi huyo?
Nani huyo alitamba?Lakini alichotamba ni kwamba OP itakuwa imekamilika ndani ya masaa 72. Kwa hiyo ss tunamnukuu alichotamka mdomoni mwake.
Aisee! Je; wewe ni kweli hauna habari yoyote au kilichotokea 2022 na ndicho kilipelekea uwepo wa vita baina ya nchi ya Urusi na Ukraine, vita inayoendelea hadi sasa 2024 au unatu-enjoy ?Nani huyo alitamba?
Unaweza kutupa ushahidi, hata link tu inaweza kufaa!
Nafahamu na habari ninayo, ila tu sifahamu ni nani ambaye alitamba kuwa atakamilisha SMO ndani ya masaa 72.Aisee! Je; wewe ni kweli hauna habari yoyote au kilichotokea 2022 na ndicho kilipelekea uwepo wa vita baina ya nchi ya Urusi na Ukraine, vita inayoendelea hadi sasa 2024 au unatu-enjoy ?
............ appears prominently in the public address by Putin titled "On conducting a special military operation", which the Russian leader released on 24 February 2022. (Check: Wikipedia , Reuters au unaweza ku-google Russia vs Ukraine war)Nafahamu na habari ninayo, ila tu sifahamu ni nani ambaye alitamba kuwa atakamilisha SMO ndani ya masaa 72.
Ndio maana nakuomba kama una hata link tu, tuma ili na mimi nithibitishe UJUHA wa huyo mtu kwa macho yangu.
It's a matter of logic and reality. Ukraine ( watoto, wanawake, wazee vijana,... To mention fire waliopoteza maisha kwa hujuma za urusi). Walikuwa wamechokoza nani hapo kabla?..........Btw Russia ndani ya Ukraine ni " magaidi" elewa neno magaidi....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnatia huruma sana .nani kawaambia mkashambulie watu wasiyo na hatia huko Moscow
Mbona hatujaona hio habari Al-Jazeera leoMakombora zaidi ya 20 yamepiga mji wa Lviv na Stryi na kulipuwa uwanja wa ndege za kivita na kulipua air defence Kambi za mafunzo , maghala ya silaha na visima vya mafuta kwa Sasa mji unawaka moto ili kuweza kuwachoma wanamgambo wa Ukraine walijificha kwenye mapango
[🖼 Telegram channel "Legitimate": It turns out that more than 20 missile strikes were carried out only in the city of Stryi in the Lviv region. It burns strongly, it can be seen for kilometers.
According to the data, the strikes were carried out:
1. for warehouses and hangars of fuel and lubricants.
2. For the airfield and air defense, which stands a little outside the city, protects an important transshipment base or some "workshops" for the production of "something".
3. For energy/gas infrastructure
4. There was a training center near the airfield. Over the past month, a lot of people have been brought in, taken away (perhaps there is a training center / training ground).
Locals report that there are a lot of ambulances in the city.]
Telegram channel "Legitimate": It turns out that more than 20 missile strikes were carried out only in the city of Stryi in the Lviv region. It burns strongly, it can be seen for kilometers.
According to the data, the strikes were carried out:
1. for warehouses and hangars of fuel and lubricants.
2. For the airfield and air defense, which stands a little outside the city, protects an important transshipment base or some "workshops" for the production of "something".
3. For energy/gas infrastructure
4. There was a training center near the airfield. Over the past month, a lot of people have been brought in, taken away (perhaps there is a training center / training ground).
Locals report that there are a lot of ambulances in the city.
Victor vicktop55, [3/24/24, 9:13 AM]
[Posted by victor]
[🎥 Video]
Sijaona sehemu ambayo Putin amesema atakamilisha operation ndani ya masaa 72............. appears prominently in the public address by Putin titled "On conducting a special military operation", which the Russian leader released on 24 February 2022. (Check: Wikipedia , Reuters au unaweza ku-google Russia vs Ukraine war)
Lakini mkuu; si umetaka kujua Ni nani aliyetamba?Sijaona sehemu ambayo Putin amesema atakamilisha operation ndani ya masaa 72.
Utajua nani ni gaidi sasa .subiri motoIt's a matter of logic and reality. Ukraine ( watoto, wanawake, wazee vijana,... To mention fire waliopoteza maisha kwa hujuma za urusi). Walikuwa wamechokoza nani hapo kabla?..........Btw Russia ndani ya Ukraine ni " magaidi" elewa neno magaidi....
Karibu.
Aisee! Je; wewe ni kweli hauna habari yoyote au kilichotokea 2022 na ndicho kilipelekea uwepo wa vita baina ya nchi ya Urusi na Ukraine, vita inayoendelea hadi sasa 2024 au unatu-enjoy ?
Toa mfano,nani alishawahi kuingia kwenye vita na urussi akashinda?Lakini awe makini isije ikamfedhehesha kama ile OP ya 72hrs. ambayo sasa ni 3yrs. Mrusi ni mdhaifu sana kimahesabu - he is very poor in mathematical calculations.
Leteni ushahidi......Lakini awe makini isije ikamfedhehesha kama ile OP ya 72hrs. ambayo sasa ni 3yrs. Mrusi ni mdhaifu sana kimahesabu - he is very poor in mathematical calculations.
Ulaya inaisaidia Ukraine Silaha kama ambavyo Iran na Korea zinavyoisaida Urusi Silaha. Vita inapiganywa baina ya Ukrainbe na Urusi, ingawa Urusi sasa hivi pia inasaidiwa na wapiganaji kutoka IndiaSasa wanamchangia ulaya nzima na marekani siyo kitu kidogo anapambana kwa kweli ingawa as usual vita ni costly uchumi lazima uyumbe maana shughuli za kiuchumi pia zinaathirika na u have to put alot of budget on security and weapons