Ulaya inaisaidia Ukraine Silaha kama ambavyo Iran na Korea zinavyoisaida Urusi Silaha. Vita inapiganywa baina ya yan Ukrainbe na Urusi, ingawa Urusi sasa hivi pia inasaidiwa na wapiganaji kutoka India
At least two Indians have died on Ukrainian front lines, revealing the desperation caused by widespread joblessness.
www.aljazeera.com
Putin ni mtu aliyekaa madarakani kwa miaka zaidi ya 25 akiwa na mawazo ya Cxold war siku zote akitegenmea USSR itarudi tena bvadala ya kuangalia maisha yaliyoko mbele ya dunia ya leo.ara anajaribi kuirudisha dunia katika Cold war