Viwanja vya starehe Dar ni vipi?

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
wakuu
Nimekusanya nguvu kidogo nipo njiani kuja jiji la Chalamila

Huku Mbeya nimezoea kuburudika kwa bia na watoto wenye mizigo ya haja hapa mbeya pazuri yaani tunakesha amna kama popo full watoto mziki na bia unajistarehesha na pesa zako

Sasa nakuja huko, naombeni mnipe kiwanja kitakachonipa burudani zaidi ya hizi nilizoziacha Mbeya
 
u
usije Tabata, nimekushika mkono, utalikoga U.T.I ukilikosa gono 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…