Viwanja vya starehe Dar ni vipi?

Viwanja vya starehe Dar ni vipi?

Na kidimbwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie kabisa Kidimbwi hatuendi na cash, tunatumia kadi.
Na Kama hajazoea kununua pombe ya laki Saba aishie huko huko Sinza.
Huku mabibi wanaanzia laki.
 
Mwambie kabisa Kidimbwi hatuendi na cash, tunatumia kadi.
Na Kama hajazoea kununua pombe ya laki Saba aishie huko huko Sinza.
Huku mabibi wanaanzia laki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aione kwenye jalada.
 
Mkuu hela iwe ndefu tu bongo Kila utumbo utapata,nasisitiza iwe ndefu sio umepewa Hela ya mbolea bush huko uje utumbue mjini,utarudi mbeya Kwa fuso.
 
Back
Top Bottom