Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Mwanza
Tivoli Cinema
Liberty Cinema
Deluxe discotheque
Magnum DISCOTHEQUE
Capri Cabana club -Capri point

Dodoma
Dodoma cinema
Paradise CINEMA
NK Discotheque
 
La kasachika Tanga, Savoy Mbeya,
 
Yenu bar ubungo na matungucha kimara zingeendelea kuwepo kama isingekuwa upanuzi wa barabara ndio ulizigharimu.

Makondeko ya luguruni pamoja na kuwa upanuzi wa barabara umepita na eneo lkn jamaa alishafeli kitambo.
 
Nilidhani wewe ni ajuza kama mimi kumbe wa jana hapa

  1. Jasmeena, Kijitonyama
  2. Silent Inn, Mwenge
  3. La Prima, Victoria
  4. Lang'ata (FM), Kinondoni Makaburini
  5. DDC, Kariakoo
  6. Makondeko, Mbezi Luguruni
  7. Bahama Mama, Kimara
  8. Wapi Wapis Bar, Chang'ombe
  9. Lango la Jiji........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…