gambakhuffu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2010
- 488
- 504
Bora umemwambia, nishapekuliwa wallet uzuri pesa nyingi niliisunda ndani ya bag. Sina hamu na mademu wa Arusha nikifika huwa nawaona kama mabroo tu sishoboki nao, mi mitungi tu nikichoka haraka kulala. Halafu yanatongoza hadi wanaume haki wallahUnataka awe na sifa gani? Mademu wa Chugs ni wezi, wala mirungi, wavuta bange, wapenda ugomvi na ni wababe. Umejiandaaje mtoto wa mama?
MBowe clubBilicanas asee yani miaka hiyo ya 70 hadi themanini. Nikikumbuka enzi hizo za ujana wangu. Kununua nyama tu lazima uombe kibali kwa mwenyekiti ana mjumbe.
Dahhhhh....Mkuu inaonekana Mwanza umechafua sana, siamini umezisahau Tekila Bar, Cheers Pub, Shethembaa Bar.
inawezekana,maana hawa mablaza wengi wanacheza kwenye 50/65 yrs.Baba zao au Babu zao?
For sureinawezekana,maana hawa mablaza wengi wanacheza kwenye 50/65 yrs.
Motel VillaClub Villa,Mwananyamala Ujiji na DJ Joseph
miaka ya 70 hadi 80 hakukuwa na Bilicanas , Bilicanas ilikuja miaka ya 90. Enzi unazosema ilikuwa inaitwa Mbowe club tena ilikuwa upande wa hicho kituo cha mafuta cha Puma sasa hivi. Bilicanas ilikuja baadaye baada ya Freman kuja na vyombo vya kisasa vya mziki na kujenga upya ukumbi ambao ulikuwa upande wa posta club. Ni sehemu mbili zilizokuwa na facilities hizo Bilicanas ya Freman Mbowe na Las Vegas kona ya Aga Khan. Joseph Kusaga wa Clouds yeye alikuwa na mziki ila alitumia sana Pool side Kilimanjaro Hotel,Bilicanas asee yani miaka hiyo ya 70 hadi themanini. Nikikumbuka enzi hizo za ujana wangu. Kununua nyama tu lazima uombe kibali kwa mwenyekiti ana mjumbe.
Sama Night -Old ForestMbeya Carnival - Mafiat Mbeya
Maisha club - barabara ya Mzumbe Mbeya
Shaba Pub - Soweto Mbeya
Club E point - Sae Mbeya
Miasha Club - Morogoro
Tazara Club hapo leaders clouds walikuwa wanapiga ma buzukimiaka ya 70 hadi 80 hakukuwa na Bilicanas , Bilicanas ilikuja miaka ya 90. Enzi unazosema ilikuwa inaitwa Mbowe club tena ilikuwa upande wa hicho kituo cha mafuta cha Puma sasa hivi. Bilicanas ilikuja baadaye baada ya Freman kuja na vyombo vya kisasa vya mziki na kujenga upya ukumbi ambao ulikuwa upande wa posta club. Ni sehemu mbili zilizokuwa na facilities hizo Bilicanas ya Freman Mbowe na Las Vegas kona ya Aga Khan. Joseph Kusaga wa Clouds yeye alikuwa na mziki ila alitumia sana Pool side Kilimanjaro Hotel,
Msisahau Pink Coconut hapo sir Leander Bridge na Tazara Club Kinondoni
Yenu bar ubungo, ilikuwa kituo changu cha kupata chipsi kavu na soda nikiwa narudi home kutoka mizururo ya kariakoo. Kipindi hicho stand ya dala dala Bado ipo pale ubungo majiYenu bar & Sisimizi bar Ubungo
ilikuwa unasikia kidekule,zaiko langalanga da kitambo sana na kuna pale mwenge kwa mzee Fred Rwegasira Silent Inn ,inapigwa live Band Diamond Musiza ya Alan Mulumba Kisha Dj Rakeem Ramadhani anakiwashaTazara Club hapo leaders clouds walikuwa wanapiga ma buzuki
The competent will own regardless of color. The economy doesn't care about color.Ndiyo mjue kwamba black people own nothing in tanzagiza na kidogo walichonacho kitapotea/porwa, big bussiness zote za majority wa tanzagiza tulizokuwa nazo wakubwa zimekwishamalizwa, kuanzia maduka makubwa, mabasi , construction companies mpaka hotels na tourism companies zote kwisha and guess who owns everything …
Wana Dar es salaam ikibinda nkoyi!![emoji23]Silent Inn
The competent will own regardless of color. The economy doesn't care about color.