Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Coffee bar Tanga,nyuma ya Eckenford
Small World Makumbusho karibu na fundi CHONGA
Heko bar - Knyama njia ya kwenda kwa Ali Maua
Godwin Bar opposite na Mabatini POLICE
Urafiki bar Sinza karibu na BOT flat
Kwa Dave Knyama darajani
Kwa Mama Bar,Makumbusho
MwanaMkude Bar,karibu na Makumbusho Primary School
Royal bar Mwananyamala
Kwa Mama Zacharia
Miti Mirefu
Break point OG-opposite na Millenium town
Kwa Mama Happy Makumbusho
Sofan bar
Knyama bar karibu na Corner bar
 
Yenu bar palikuwa na misosi sana, nyuma guest house
Dah!! nakumbuka enzi nipo chuo nikitoka Meeda au ambiance club....nachukuwa tax Napita kwanza yenu bar napiga mchesho,.Yani saa 11 asubuhi Kila kitu kipo we agiza tu iwe wali samaki utaletewa hakuna anayemshangaa mwenzie
 
Silent Inn, Mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…