Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Inakatisha tamaa sana....sisi wa huku mpwayungu tunajua hivyo viwanja bado vinadunda...!🤔🤔
 
Inn by the sea - Zanzibar
Fuji - Zanzibar
Villa Park - Mwanza
Rumours - Mwanza
 
Kili time shekilango ilikua balaa miaka hio
 
Silent Inn Mwenge...
 
Travetine
 
Calabash Mwenge
Soccer City, Sinza Mori
 

Yaani we acha tu. Maryland imeenda na wengi sana wa enzi zile. Chaga Bite na Simba kapakatwa 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mango garden nunge area
Shimoni Morogoro hotel
Kaumba madaraka road
Mapinduzi ccm wilaya
Hivi vyote vilikuwa Moro
 
Hizi zote sasa hivi ni zilipendwa.
 
GOGO HOTEL Morocco
TWIGA HOTEL maeneo ya Posta mpya. Watoto waliozaliwa miaka ya 90 si rahisi kuzifahamu hizo au waliokuja mjini miaka ya Y2K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…