Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Mango Garden Vijana Social Hall Mwananyamala
 
Kwa Macheni- Magomeni!!!
 
Hiyo namba 5 Kuna mwanajeshi Moja jina nimemsahau, aliniibia laptop. Nimefika pale nikaweka counter tukaendelea kula Bata jamaa akajikata akaenda kuiomba maana wakati nakabidhi nilikuwa nae. Sitashau kabisa hilo tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…