Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

Lwa wakazi wa Oysterbay enzi hizo kulikuwa na Kwa mwalibwa ukishuka tu kilima nyege ilitesa sana. Sehemu nyingine Pazi Bar, Katumba Bar knondoni, Africasana Bar bado ipo, kwa wakazi wa mikocheni B enzi hizo kulikuwa na container kwa makata
 
7.City Ambassador (zamani Gogo Hotel) ni Mali ya Chama twawala kupitia jumuiya yake moja hv
hao Airtel (zamani celtel) ni wapangaji tu pale kupitia yule mmiliki wa Quality Group
 
Idunda bar....kihesa
Ubena bar....iringa
Mwafika bar...... kichangani
Continental bar .....iringa
Kwasemtema.....kihesa
Myalukolo bar....Tanangozi
Mama mkombozi...Igunga
Chui bar....Bohemia
Baba Karen bar..Kihanda
Onyonya ukunonze...Kiborlony
Shashaa...bombom kijiwesamli
Matungucha bar...kimara
Dodoma inn...Dodoma
Kishosha bar.....Tinde
Bakulutu bakonzie....Shinyanga
Club vakanze...Bagamoyo
Mama koku....oumurushaka
Nitaendelea baadae nimepata dharura..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…