Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Ipo kuna mishkaki bomba sana.Bonga bar Kinondoni..bar moja special sana hii , sijui bado ipo ?
Itakuwa ulisoma UDSMYenu bar & Sisimizi bar Ubungo
Hii bar nilikua nakunywaga pale na wazee wa obama driveIpo kuna mishkaki bomba sana.
Ni CAMEO sio COMEOCOMEO CINEMA
NEW CHOX CINEMA
AVALON CINEMA
DRIVE INN CINEMA
Hahahahaha usikute alihadithiwa tuNi CAMEO sio COMEO
Makondeko unaikumbuka?Bahama Mama Kimara baruti
Hunters Club Ubungo
Wapi wapis Bar Chang'ombe
Vatican mwenzake alikuwa Lion hotel, walikuwa maarufu enzi hizo bila kusahau JUMBA la MAENDELEO URAFIKIKwa kweli hizi kumbi siku wahi kuingia hata moja, zaidi ya kusoma, ukurasa wa matangazo gazeti la mfanyaka, maana ukiondoa drive inn, zingine zilikua huko katikati ya jiji, na hali uchumi enzi hizo nikua sijiwezi sana.
Nilipenda zaidi mziki, kwa kumbi za karibu, kama Vatican hotel palikua MK beets, 92 hotel pale bandi nyingi zilikua zinapiga ila kila juma pili Washirika Tanzania stars, ukumbi mwingine Ufi Club, jirani na kiwanda cha maziwa yetu pendwa kipindi kile.
Nilale nimerogwa?We mlevi umelala?
Lang'ata social hall....kinondoniMakondeko unaikumbuka?
Mzee wa korogwe....La vida loca
La casa chika
Baba zao au Babu zao?huu uzi vitoto vya 2000's vinashangaa hapa baba zao walivyokua wanaruka debe Shentembaa bar Kinondoni,Mango Garden Kinondoni,Sansiro bar Nyakato Mwanza,City Cabana Mwanza.
Ilivunjwa kwa sababu y siasa, bar ilimilikiwa na jamaa wa kuitwa Lema bro ake Godfrey Lema. Eneo la ccm unategemea nn. Ilihamia pasias.Villa park mwanza, sijui nini kimeukuta!!
Mwaka jana nilienda mwanza nikaambiwa haipo tena nilishangaa sana
Ni babu zao, kwa mfano makondeko au gogo hotel ni za zamani, makondeko pamekuwa barabara na gogo imekuwa airtel hqBaba zao au Babu zao?
Godfrey Lema ndio nani nchi hii?Ilivunjwa kwa sababu y siasa, bar ilimilikiwa na jamaa wa kuitwa Lema bro ake Godfrey Lema. Eneo la ccm unategemea nn. Ilihamia pasias.
Mkuu inaonekana Mwanza umechafua sana, siamini umezisahau Tekila Bar, Cheers Pub, Shethembaa Bar.Mwanaisungu, Tabora.
Roumas Club, Mwanza.
Mtema A&B, Nyakato Mwanza.
Mwanga bar, Dodoma.
Kilimani club, Dodoma
Isingekufa kama bro nditi angekuwepo [emoji2113]Macheni bar Magomeni
Noma sana hiyo kiwanja
Catalunya Bar Mlimani
City Cabana, good old days.huu uzi vitoto vya 2000's vinashangaa hapa baba zao walivyokua wanaruka debe Shentembaa bar Kinondoni,Mango Garden Kinondoni,Sansiro bar Nyakato Mwanza,City Cabana Mwanza.