Plot4Sale Viwanja vya ufukweni vinauzwa katika mradi wa Kaole Beach Plots, Bagamoyo

Joined
Jul 26, 2022
Posts
35
Reaction score
12
🏖️ Kaole Beach Plots Project!

Je, Unataka kuwa jirani na bahari? Mradi wa Viwanja Kaole Beach Plots unakusubiri! Eneo lipo mita 500 tu kutoka baharini, Bei ni TZS 13,000/= kwa mita ya mraba.

Huduma zote za kijamii zinapatikana, ikiwa ni pamoja na maji, umeme, na barabara. Mradi wa viwanja 48 na sasa vimebaki viwanja 40 tu.

Viwanja vinaanzia ukubwa wa sqm 600 mpaka sqm 5,000 vinamatumizi mbalimbali (Makazi, Biashara, Godown n.k.)

Hivyo fursa hii ni ya haraka sana.
#PataKiwanjaKaribunaBahari! 🌊 0742749886

je squaire mita 600 vipo na sh ngapi?
cha bei rahisi kabisa kitakuwa sh ngapi?
 
Milioni saba na Laki Nane lakini cha bei Ya Chini Ni tsh milioni tatu karibu sana Vyote Unalipia Taratibu taratibu na Site Tunaenda Siku zote...
 
Eneo hilo si nasikia limetengwa kwa ajili ya bandari mpya itakayojengwa? Sasa itakuwaje kwa watakaonunua viwanja?
 
Haapna Eneo Ambalo Limetengwa Kwa ajili ya bandari Ni Eneo Lingine Boss wangu sio eneo la Kaole
 
najiridhisha vp kwamba hivi viwanja havitaniletea shida maana kampun nyingi zina utapeli siku hizi
 
najiridhisha vp kwamba hivi viwanja havitaniletea shida maana kampun nyingi zina utapeli siku Sisi Tunashirikiana Na Harmashauri Ya bagamoyo na Pia Karibu Utupigie 0742749886 pia karibu Ofisini Kwetu Kwa Maelezo Zaidi.
 
najiridhisha vp kwamba hivi viwanja havitaniletea shida maana kampun nyingi zina utapeli siku hizi
Sisi Tunashirikiana Na Halmashauri ya Bagamoyo fika Ofisini Kwetu Kwa ajili Ya maelezo zaidi Au Tupigie 0742749886
 
Matangazo ya viwanja hawaweki video wanaweka mchoro
 
Back
Top Bottom