Asante kwa kuwasiliana na Bagamoyo Affordable Plots. Habari za wakati huu ndugu, sisi ni wauzaji wa viwanja vilivyopangwa na kupimwa kisheria, karibu upate kumiliki kiwanja/viwanja kwa bei nafuu sana.
Tuna miradi mizuri iliyopo maeneo ya kimkakati katika Bagamoyo yetu ya Bandari; Viwanja vyote vimepimwa, Kuna huduma zote za kijamii. Kampuni ina viwanja maeneo yafuatayo;
- Kerege 16000/= per sqm
- Kitopeni 12000/= per sqm
- Mataya 8000/= per sqm
- Kingani Beach 15000/= per sqm
- Kaole Beach 13000/= per sqm
- Makurunge (Saadan road) 5000/= per sqm
- Kiwangwa 5000/= per sqmBei ni sawa na bure kulingana na ubora wa kiwanja unachokitaka. Siku za kwenda site ni Jumatatu mpaka Jumapili. Tafadhali tujulishe jinsi tunaweza kukusaidia. Karibu sana
Tupigie +255742749886