Franchesco1346 Member Joined Jul 26, 2022 Posts 35 Reaction score 12 Sep 28, 2023 Thread starter #41 VJ-Tronix said: Hati miliki kutoka wizarani? Click to expand... Ndio Hatimiliki ni kutoka Wizarani boss tunafatilia sisi wenyewe 0742749886
VJ-Tronix said: Hati miliki kutoka wizarani? Click to expand... Ndio Hatimiliki ni kutoka Wizarani boss tunafatilia sisi wenyewe 0742749886
Franchesco1346 Member Joined Jul 26, 2022 Posts 35 Reaction score 12 Sep 28, 2023 Thread starter #42 BobUpanga said: Mna viwanja Mapinga? Click to expand... Hapana Tuna viwanja Kerege boss
Franchesco1346 Member Joined Jul 26, 2022 Posts 35 Reaction score 12 Sep 28, 2023 Thread starter #43 kawombe said: MTU akimaliza malipo yoooote je HATI ya wizara anaipata baada ya mda gani? Click to expand... Hati unaipata baada ya Mwezi mmoja boss wangu
kawombe said: MTU akimaliza malipo yoooote je HATI ya wizara anaipata baada ya mda gani? Click to expand... Hati unaipata baada ya Mwezi mmoja boss wangu
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Sep 28, 2023 #44 am 4 real said: Ardhi ni Mali vijana nendeni Kwa wingi nimetamani kuja kuangalia ila Kuna mdau kanitisha kidogo kasema scam ni nyingi hapo bagamoyo... Click to expand... Ardhi ni mali sana km utahakikisha kila kiwanja ulichonunua kina hati miliki kutoka wizarani
am 4 real said: Ardhi ni Mali vijana nendeni Kwa wingi nimetamani kuja kuangalia ila Kuna mdau kanitisha kidogo kasema scam ni nyingi hapo bagamoyo... Click to expand... Ardhi ni mali sana km utahakikisha kila kiwanja ulichonunua kina hati miliki kutoka wizarani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 28, 2023 #45 Ahsante kwa taarifa...
Franchesco1346 Member Joined Jul 26, 2022 Posts 35 Reaction score 12 Sep 28, 2023 Thread starter #46 Vesper-valens said: Ardhi ni mali sana km utahakikisha kila kiwanja ulichonunua kina hati miliki kutoka wizarani Click to expand... Ndio ndiooo
Vesper-valens said: Ardhi ni mali sana km utahakikisha kila kiwanja ulichonunua kina hati miliki kutoka wizarani Click to expand... Ndio ndiooo