Viwembe au shaver nzuri za kunyoa nywele sehemu za siri

Viwembe au shaver nzuri za kunyoa nywele sehemu za siri

chagua moja hapo ndo utumie.. vinapatikana mlimani mall
images
Ngoja apitishe akate kisimi afu ndo ataelewa hahah
 
Kuchunguliana sasaa na kuchekana maana mmm maumbile haya mengne tuna sura siju za mnyana gani na iwe na mapeeleee na imebabukaaa na jotooo ,mibano ya nguo za ndani ntathubutu sasaa mii kwenda kuzianika mwangani wanigeuzeegeuuzeeeee watakavyo kama chapati kweliii! na si hosp kwenye uzazi au opereshen?. Hata nikichomwa sindano ya nusu kaputi nikiamkaa mi naona aibu banaaa... Hii maana ya sehem za siri iko wapi? sasa naona mnakazana kuutwa kuiporomosha kiwango mnoo na kuwa public sector for every1. Nanyoa mwenyeweeee

Kweeeli mauti sasa imeingia mpk sufuriani kwa bibii.
Hongera,..hope pako vizuri, bora ukatae waxing kwa aibu ya mtu atakaekuhudumia saloon kuliko kukataa js bcz haina mwonekano mzuri, utakuwa hujitendei haki kuendelea kuishi na K Ina sura mbovu
 
mbuzi na kuku nkupe uzoefu wangu kidogo juu ya waxing ukipenda haya,ukiona ngumu basii kata na Gillette mama
Inabidi u maintain usafi wa hali ya juu kwny K na mwili kwa ujumla, actually uwe unachukua kioo unajitizama maendeleo ya K yako,keep it dry na paka mafuta sometimes,I prefer Vaseline, treat any infection or itch right away, nk nk
Huko saloon utasanzua nguo ndo upate huduma hahahahha hapa KikulachoChako atanitoa mbiooo nirudi kwa mume anifanyie,ts painful mwanzoni but ngozi ikizoea inapungua, watatoa mbele, hapo kati na nyuma kwny mstari wa t**ko
Utafutwa/kujifuta with warm water,then vaa rudi home oga,huwa napaka Vaseline kdogo to care for the tender skin na kuvaa cotton underwear only
Well kazi ni kwako,but ts one of the best things that I ever chose,I loved my body except K,with waxing I love my whole self na sinaga aibu ht mbele ya my Man au checkup hospital
Well utasemwa sana sijui heshima sijui vitu gani, ur life ur choices, kwani unaenda fanya mapenzi huko??sanasana huna haja ya kujitangaza unawax enjoy ur benefits mana Africa utawaweza basii
Mi hapa nmeongea coz ni Jf,uraiani huko hata me huwa nawashangaa sana wanaowax,how do they do that...hahahhahaha
 
Mbona ni zoez la dk 5 tu na unakuwa fresh kwann uende kuonesha uchi wako kwa watu...
 
Ladies Wana mambo sana, wanaume tupo simple sana kwenye hii life, except kwa wale man.. Women
 
Nilikuwa sijui waxing ni nini.

Mhh. Angalia hapa
 
....mmh wadada wa siku hizi wana roho ngumu!, yani mimi ndio naweza funga macho kwa aibu badala yenu?!
#yesunjootu!
hii sayari imeshaisha!
 
Back
Top Bottom