Viwembe au shaver nzuri za kunyoa nywele sehemu za siri

Viwembe au shaver nzuri za kunyoa nywele sehemu za siri

JIVU NI SAFI SANA UNACHUKUA UNAPAKA KWENYE MAVU..ZI THEN UNAANZA KUVUTA YAANI WE ACHA TU KWANZA INACHUKUA TIME KUOTA TENA NI SAFI SANA JARIBU NA UTAFURAHI
 
....mmh wadada wa siku hizi wana roho ngumu!, yani mimi ndio naweza funga macho kwa aibu badala yenu?!
#yesunjootu!
hii sayari imeshaisha!
Dunia yaaangamia
 
Habari wakuu,

Tupeane uzoefu kuhusu vinyoleo bora kwa sehemu zetu za siri ambazo hazikati na kuacha madonda na hatimaye mapele.

Pia ambavyo viko vizuri kunyoa nywele zetu upande ule wa uwani bila matatizo huko huwa kunanipa shida sana.

Binafsi huwa natumia viwembe vya Gilette au Laser II zilizokaa kama T.
inategemea kama ukiwa unafanya mapenzi kila siku hata mavuzi yanakua hayaoti
 
Aiseee ajira nyingi duniani.... Hivi ndio shingapi tena kwa pesa madafu za kitz
 
Kuchunguliana sasaa na kuchekana maana mmm maumbile haya mengne tuna sura siju za mnyana gani na iwe na mapeeleee na imebabukaaa na jotooo ,mibano ya nguo za ndani ntathubutu sasaa mii kwenda kuzianika mwangani wanigeuzeegeuuzeeeee watakavyo kama chapati kweliii! na si hosp kwenye uzazi au opereshen?. Hata nikichomwa sindano ya nusu kaputi nikiamkaa mi naona aibu banaaa... Hii maana ya sehem za siri iko wapi? sasa naona mnakazana kuutwa kuiporomosha kiwango mnoo na kuwa public sector for every1. Nanyoa mwenyeweeee

Kweeeli mauti sasa imeingia mpk sufuriani kwa bibii.
[emoji13] [emoji13]
 
Kuna cream wanapaka then wanapitisha mashine kama unanyoa ndevu nzuri nimeisahau jina
 
natumia veet,ila kuna mtu aliniambia kuna kitu kinaitwa laser hair removal,eti hazioti tena,ni kweli au?
 
Back
Top Bottom