mbuzi na kuku nkupe uzoefu wangu kidogo juu ya waxing ukipenda haya,ukiona ngumu basii kata na Gillette mama
Inabidi u maintain usafi wa hali ya juu kwny K na mwili kwa ujumla, actually uwe unachukua kioo unajitizama maendeleo ya K yako,keep it dry na paka mafuta sometimes,I prefer Vaseline, treat any infection or itch right away, nk nk
Huko saloon utasanzua nguo ndo upate huduma hahahahha hapa
KikulachoChako atanitoa mbiooo nirudi kwa mume anifanyie,ts painful mwanzoni but ngozi ikizoea inapungua, watatoa mbele, hapo kati na nyuma kwny mstari wa t**ko
Utafutwa/kujifuta with warm water,then vaa rudi home oga,huwa napaka Vaseline kdogo to care for the tender skin na kuvaa cotton underwear only
Well kazi ni kwako,but ts one of the best things that I ever chose,I loved my body except K,with waxing I love my whole self na sinaga aibu ht mbele ya my Man au checkup hospital
Well utasemwa sana sijui heshima sijui vitu gani, ur life ur choices, kwani unaenda fanya mapenzi huko??sanasana huna haja ya kujitangaza unawax enjoy ur benefits mana Africa utawaweza basii
Mi hapa nmeongea coz ni Jf,uraiani huko hata me huwa nawashangaa sana wanaowax,how do they do that...hahahhahaha