Viwembe au shaver nzuri za kunyoa nywele sehemu za siri

ina madhara gani mkuu nijulishe??mimi hiki kibibi change nataka kibaki lainiii kama ngozi ya mtoto hahahaaaaaaa
unasemea kibibi kipi? cha nyuma au cha mbele?
nimesikia madhara yake ndio na ni mabaya sana. kuna kaka alikua anapaka ili ndevu zisiote baadae alikuja kupata shida sana, unajua nywele zinaota so zinabaki kule ndani ya ngozi na madhara yake ni kuvimba sehemu husika kwa sababu nyewe zinajikusanya kule ndani
 
Mekupenda ghaflaa
 
Uvivu ukizidi unasumbua akili. Hivi unaweza kwenda kujianika saluni kunyoa mavuz.i?
 
Hiyo waxing kwani ananyolewaa na mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…