Huyu Putin ndiye Adolf Hitler wa sasa🙄Russia imewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe au waweke silaha zao chini warudi nyumbani.
Huku hayo yakiendelea kumesikika milipuko sehemu mbalimbali nchini Ukraine huku wanajeshi wengi wa Urusi wakitokea kila upande kuizunguka Ukraine... Wengine wanatokea nchi jirani ya Belarus kuelekea miji mingine ya Ukraine.
View attachment 2129305View attachment 2129304View attachment 2129307View attachment 2129306
Huyu Putin ndiye Hitler wa sasa[emoji849]
Hitler wa kisasa anayetetea maslahi ya nchi yake
Mwamba mmoja anatishia dunia watu wametulia tuliii nawakubali San watu wa namna hii
Nani anamkubali wakati umeona mikoa miwili fastafasta imejitngaza kuungana na Urusi?Putin ni fyatu. Urusi ina maslahi gani yatakayopatikana kwa kuisumbua Ukraine? Nani anahitaji utawala wa Putin huko Ukraine...
Hauna maslahi kwa taifa lake ?Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.
Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.
He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Hong Kong na Taiwan zijiandae , China anakuja huko soon .Putin ni fyatu. Urusi ina maslahi gani yatakayopatikana kwa kuisumbua Ukraine? Nani anahitaji utawala wa Putin huko Ukraine...
Ukraine kujiunga nato ni tishio kwa usalama wa russia ..Putin ni fyatu. Urusi ina maslahi gani yatakayopatikana kwa kuisumbua Ukraine? Nani anahitaji utawala wa Putin huko Ukraine?
Anapoteza bilions of dollars huku nchi yake imerudi nyuma kiuchumi inategemea zaidi kuuza raw materials na silaha?
Hata China wanamcheka kinafiki.
Tatzo humu ndani watu wanamlaumu putin bila kujua sababu..Nani anamkubali wakati umeona mikoa miwili fastafasta imejitngaza kuungana na Urusi?
Ukitaka kujua maslahi ya Urusi kwa Ukraine tafuta historia. Urusi ipo tayari kufa na yeyote anayejaribu kuitengnisha na Ukraine
Bila shaka maamuz aliyofanya Putin hayatofautian na maamuz aliyoyafanya Bush nchin Iraq na AfghanistanPutin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.
Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.
He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!