Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Basi wewe ndiye mtu wa ajabu kwa mwezi huu wote, ukraine ni point muhimu ya kiulinzi kwa urusi , sawa na zanzibar kwa tanzania
 
Putin ni fyatu. Urusi ina maslahi gani yatakayopatikana kwa kuisumbua Ukraine? Nani anahitaji utawala wa Putin huko Ukraine?

Anapoteza bilions of dollars huku nchi yake imerudi nyuma kiuchumi inategemea zaidi kuuza raw materials na silaha?

Hata China wanamcheka kinafiki.
Putin hataki Ukraine ijiunge NATO maana anahatarisha usalama wake..NATO wanaitaka Ukraine ili waizunguke Urusi na Urusi hawezi kuiubali hilo kamwe.
Kazi ipo kwa Ukraine aamue yeye
 
Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!

Una uhakika kwamba uamuzi huo hauna manufaa kwa nchi yake? Mzungu sio mjinga kiasi iko
 
Putin ni dikteta mpenda Vita ni lazima dunia imwekee vikwazo vikali vya kiuchumi ili kuzuia mauaji huko Ukraine.
Unafikiri Vikwazo vina athari gari kwa Russia? N KOREA ana vikwazo toka miaka ya 50 huko lakini angalia mambo yake yanavyotisha. Ukiwekewa vikwazo akili inakaa sawa ndo unawaza kupamban zaidi tofauti na sisi tunaopewa msaada hadi wa sindano.

Unafikiri Rusia ni sawa na Malawi?
 
Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Nakupongeza Kwa kuona mbali Mkuu.
 
Hebu tupate wadhamini kidogo
Screenshot_20220224-101624.png
 
Putin ni fyatu. Urusi ina maslahi gani yatakayopatikana kwa kuisumbua Ukraine? Nani anahitaji utawala wa Putin huko Ukraine?

Anapoteza bilions of dollars huku nchi yake imerudi nyuma kiuchumi inategemea zaidi kuuza raw materials na silaha?

Hata China wanamcheka kinafiki.
Si za kwao wew inakuhusu nn kuongelea hela za wanaume kwa hiyo wew unakila kumzidi putin wew nyenyew huna hata ubalozi wa nyumba kumi unahojije mtu mwenye kuiendesha linchi likubwa
 
Unafikiri Vikwazo vina athari gari kwa Russia? N KOREA ana vikwazo toka miaka ya 50 huko lakini angalia mambo yake yanavyotisha. Ukiwekewa vikwazo akili inakaa sawa ndo unawaza kupamban zaidi tofauti na sisi tunaopewa msaada hadi wa sindano.

Unafikiri Rusia ni sawa na Malawi?
Uchumi wa Russia ya kikomnisti na hii ya Sasa unafanana?
 
Nani anamkubali wakati umeona mikoa miwili fastafasta imejitngaza kuungana na Urusi?
Ukitaka kujua maslahi ya Urusi kwa Ukraine tafuta historia. Urusi ipo tayari kufa na yeyote anayejaribu kuitengnisha na Ukraine
Hakuna lolote kila nchi ina kitu adimu. Mfano Poland, Yugoslavia, Serbia, Slovakia na nyingine
 
Na wakijishusha ina maana NATO ndo wameufyata je Usa wanakubali hilo.
Je litakua funzo gani kwa vibaraka wa USA na nato kuona Nato haina msaada kabisa kwao
Bora wazichape tuone mbaabe nani, mbona sisi Tanzania ya Nyerere tulizichapa na Uganda ya Idd Amini Dada!!
 
Back
Top Bottom