Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!

Kiongozi gani unayemjua ww ambaye ni timamu?
 
Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
NATO ndo wakulaumiwa..huwezi kuwa na jirani yako anatumika na adui zako....NATO wamemtia kiburi Ukraine...sasa haya ndo matokea yake....
 
Putin ni fyatu. Urusi ina maslahi gani yatakayopatikana kwa kuisumbua Ukraine? Nani anahitaji utawala wa Putin huko Ukraine?

Anapoteza bilions of dollars huku nchi yake imerudi nyuma kiuchumi inategemea zaidi kuuza raw materials na silaha?

Hata China wanamcheka kinafiki.
Mjinga sana yule. Mimi nadhani anaanzisha chokochoko ili Ulaya waingie kwenye vita na uchumi wao uyumbe. Anaona wivu Akiona EU inafanya vizuri kwenye uchumi. Iam sure Ulaya hawataanguka kwenye huu mtego.
 
Na wakijishusha ina maana NATO ndo wameufyata je Usa wanakubali hilo.
Je litakua funzo gani kwa vibaraka wa USA na nato kuona Nato haina msaada kabisa kwao
Ndo ivyo Yani, kuliko kuiweka nchi kituo Cha vita
 
Bora wazichape tuone mbaabe nani, mbona sisi Tanzania ya Nyerere tulizichapa na Uganda ya Idd Amini Dada!!
Nani na nani wazichape sasa? Ukrain ni ndugu na russia wanatakiwa kuzungumza si kupigana. Mmarekani pale hana vita ila anavichochea tu na vikitokea atashawishi mataifa yaiunge mkono ukrain ili wapigane kisawasawa wadumae kiuchumi na yeye apate sababu ya ushawishi wa kuiwekea vikwazo.
 
Watu hawataki vita. Hakuna alieufyata. Hakuna anaetaka kuanguka kwenye mtego wa huyo Schezophrenic Putin. Watu wanaangalia humanity kwanza. Hakuna anaemwogopa Putin. Sema watu wenye akili hawataki vita.
Hawataki vita lakini huko Syria, Iraq, Libya na kwingineko walipeleka majeshi yao kusaport vikundi haramu, kuna muda unajifanya uko neutral lakini mahaba yako kwa NATO yanaonekana waziwazi.
 
Mjinga sana yule. Mimi nadhani anaanzisha chokochoko ili Ulaya waingie kwenye vita na uchumi wao uyumbe. Anaona wivu Akiona EU inafanya vizuri kwenye uchumi. Iam sure Ulaya hawataanguka kwenye huu mtego.
Hao watu wamagharibi wakiongozwa na wamarekani wabinafsi balaa... kila siku vikwazo mpaka wanafikia mahali kuwapiga mkwala nchi ambazo zina mahusiano ya kibiashara kutonunua kwa Russia. Bora vita lipigwe maisha yake sawa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mjinga sana yule. Mimi nadhani anaanzisha chokochoko ili Ulaya waingie kwenye vita na uchumi wao uyumbe. Anaona wivu Akiona EU inafanya vizuri kwenye uchumi. Iam sure Ulaya hawataanguka kwenye huu mtego.
Kuna thread nimeona unapewa elimu ya uhalisia sana kuhusu huu mgogoro lakini huelewi... Potelea mbali watu kama nyinyi inatakiwa mjifunze kwenye matendo kama ilivyo sasa.

Urusi aliweka wazi matakwa yake ila NATO wakawa wanamtishia eti mara wamepeleka silaha hatari Ukraine, mara watamsaidia kijeshi, mara watampa kila msaada unaohitajika... Leo hii mwanaume Putin anaongea kivitendo zaidi huku wale makuwadi wa Magharibi wakijifungia ndani eti wanawaombea waukrine juu ya madhila yatakayowapata.

Victoire naomba utafute historia ya Urusi kabla ya vita vya kwanza vya dunia, vya pili na mpaka kuvunjika USSR ndipo uweze kuelewa maswala mengi ya dunia
 
Putin sio mzima kichwani - kama alivyokuwa Hitler. Itadhihirika muda sio mrefu.

Katika karne ya 21 kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi hawezi kufanya uamuzi wa kipumbavu kiasi hicho usiokuwa na manufaa yeyote kwa taifa lake.

He’s gone completely nuts. Bado ana medieval mind set ya akina Alexander the Great na Gengis Khan!
Hakuna faida yeyote atakayopita hasara ni kubwa bado ana inferiority complex
 
Unafikiri Vikwazo vina athari gari kwa Russia? N KOREA ana vikwazo toka miaka ya 50 huko lakini angalia mambo yake yanavyotisha
North Korea? Economically, that's a failed state.
Wanachoweza ni kutengeneza tu silaha, basi!
Wameachwa mbali mno na South Korea
 
Back
Top Bottom