Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Naona vijana wao ndo wameanza kuji salimisha.Vita sio mchezo zile javelin za Marekan zimeanza kazi huko
 
Vita sio mchezo zile javelin za Marekan zimeanza kazi hukoView attachment 2129942
 
Front kuimaisha USSR.
Sawa. Embu angalia Aljazeera live UK prime minister anaongea halafu utajua hakunaga kuimarisha nchi kwa kupigana vita.

Hii vita ni ujinga maana unapigana na ukraine ila maadui zako wanakushambulia kwa mbaliii wakitumia rimont huku wakikupump uamini kuwa unapigana vita vyenye maana na unaonyesha dunia wewe ni mwamba. Hata puttin keshahtuka sasa anataka mazungumzo na ukraine japo ishakuwa too late maana hata raia wake wapo wengi wanao protest against invasion na wapo waliokamatwa na polisi
 
NATO walipopiga Belgrade ilikuwa karne ipi kwani.
 
We still have little information and it is too early to conduct a field study. But what is clear is the progress of the Russians in the use of long-range missiles and precision weapons in relation to the war in Georgia, which is the result of their field experience in the wars in Georgia and Syria. Minutes ago, four possible ballistic missiles were fired from Belarus into Ukraine
 
Unajua mzozo huo unasababishwa na USA [emoji631] kwa sababu USA [emoji631] hana base ukanda huo na anataka aweke mitambo yake hapo Ukraine [emoji1255] ili amchunguze Russia [emoji635] akasema aitwezekana
 
Mwamba mmoja anatishia dunia watu wametulia tuliii nawakubali San watu wa namna hii

Nchi zinazoweza mkabili zinajitajidi busara itumike kuepuka vita kubwa zaidi...

Marekani akirusha hata risasi tu hapo, kitachofuata ni mtafutano dunia nzima...
 
Wewe ma Drifter mnaponzwa na mahaba kwa upande flani.
Kwanini Marekani walichabganyikiea USSR walipoweka silaha hatari Quba?
Si ni sawasawa na NATO(Au USA) kuweka silaha hatari Ukraine au nchi yeyote jirani na Russia?

Kama mnapenda haki msojitoe ufahamu.
What goes round comes round... and vice versa is true.
 
Wewe na Drifter mnaponzwa na mahaba kwa upande flani.
Kwanini Marekani walichanganyikiwa USSR walipoweka silaha hatari Quba?
Si ni sawasawa na NATO(Au USA) kuweka silaha hatari Ukraine au nchi yeyote jirani na Russia?

Kama mnapenda haki msijitoe ufahamu.
What goes round comes round... and vice versa is true.
 
Putin hataki Ukraine ijiunge NATO maana anahatarisha usalama wake..NATO wanaitaka Ukraine ili waizunguke Urusi na Urusi hawezi kuiubali hilo kamwe.
Kazi ipo kwa Ukraine aamue yeye
Sasa Ukraine sini taifa huru lina haki yakuamua mambo yke! Au Ukraine ni jimbo la Russia?
 
Na kama USA, kungekuwa na mtu mwenye akili kama hizo, sasa hivi dunia ingeingia WW3!!lakini watampuuza tu, na kumminya kisayansi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…