Wewe ndiye mpumbavu wa kwanza, soma historia ya dunia ndiyo utajua kwa nini Russia hawataki NATO pale Ukraine, hivi kweli Russia wanaweza peleka siraha za maangamizi pale Mexico boarder na USA, bila USA kupiga kelele, hile Vita baridi Russia walipoweka makombora ya NUCLEAR hapo Cuba , USA walipiga sana kelele kipindi cha raisi Kennedy mpaka urusi wakaondoa makombora yao. Iweje NATO/USA waweke sana zao matakoni mwa Russia. Muwe munasoma historia ya dunia inavyoenda kufeli kwako form four na kupata zero kusiwe kigezo Cha kuleta pumba zako hapa janvini.