Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

Watanzania bhana kosa kuchoka smartphones duu !!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wamarekani walikuwa washajiandaa kuingia Venezuera, nini kilitokea baada ya mrusi kuingilia.
Tena walikuwa wanataka kusaidiwa na jeshi la korombia.
Kuna mtu humu amekomenti na kuogopa wakimbizi real
 
Sasa unasemaje Marekani kawaachia Ulaya NATO wakati huyu Marekani ni mwanachama wa NATO na mambo mengi kwa asilimia kubwa yeye ndo anayaendesha kwa kivuli cha NATO.. Anawaachia kivipi wakati anataka kutanua Base yake ya Kijeshi ndani ya Ulaya?

Urusi ina nguvu kwenye upande wa silaha za kivita na ndo biashara yake kubwa na urafiki wake na CHINA ndiyo unampa tabu Marekani..

Marekani anataka Ukraine wawe mwanachama wa NATO lakini URUSI hataki? Unajua kwanini? Ukraine akishakuwa mwanachama wa NATO Marekani ataendelea kujiwekeza kijeshi ndani yake. NA mwanachama yeyote wa NATO akishambuliwa ni sawa umetafuta VITA na NATO yote na ndo kitu PUTIN anakizuia kisitokee.

Hivi unajua Moscow iko Kilomita 450 toka mpaka na Ukraine na Kilomita 420 toka mpaka na BELARUS? Unajua kwanini URUSI ana-force urafiki na BELARUS na hata NATO wamesema BELARUS inatumika na URUSI kuipiga UKRAINE... Kwanini PUTIN asiwe na wasiwasi wakati Marekani tayari ina MAABARA ZA SILAHA ZA KIVITA ndani ya UKRAINE kwa siri?..
PUTIN anailinda MOSCOW na hata POPULATION kubwa ya URUSI ipo Magharibi ambako anapakana na BELARUS na UKRAINE, so lazima URUSI ahakikishe USALAMA wake kwa kuzi-control BELARUS na UKRAINE ili Marekani asizitumie dhidi yake...

Mfano mwingine ni kwanini Marekani yeye ndo yuko mstari wa mbele kuwasumbua IRAN na North Korea wakati nchi zenyewe HAZIMTISHI KUCHUMI? Ishu ni silaha za kivita na urafiki wao na URUSI na CHINA...

Marekani always wako macho na yeyote anayeonekana kuwa na nguvu fulani za kivita au kiuchumi asije kumpa shida katika harakati zake za kila siku za kuishika dunia.. Amejifunza kutoka kwa USSR ambayo ilijiamini sana yenyewe bila kuwa na washirika.
 
Ni juu yako kuamini kuwa Urusi ni tishio kwa US - leo hii. Let’s agree to differ.

Kwanza, elewa tu kuwa kiuchumi, kiteknolojia, kisilaha US iko top. Hakuna wa kuitisha duniani. Pili, hii vita iko zaidi ya flt kms 8000 toka Marekani. Tatu, baada ya kifo cha USSR na mwisho wa Cold War, Urusi imeshuka sana kwenye priorities za US; Putin anahaha kujithibitisha.

Nne, watu wa Ukraine wana nasaba kubwa na watu wa Urusi kuliko Wamarekani. Tano, China haina urafiki wa kweli na Urusi bali wa kimkakati kama ule ilio nao na North Korea. Sita, China baada ya kuwa na uchumi mkubwa wa pili duniani, ina interest kubwa na uhusiano wake na US na mataifa ya EU/NATO.

Pima mwenyewe, USA inapata hasara gani katika vita hii? Urusi inapata faida gani? Ukraine itaishia wapi? Dunia itanufaikaje?
 
Naongelea Statistics na Reality, kuwa kwenye kila nyanja ya Umiliki na Utengenezaji wa Vifaa vya aina mbali mbali vya KIVITA na ULINZI, kwenye washindani wakubwa watatu wa dunia lazima wawepo USA na RUSSIA

USA kama haioni USSR ni tishio asingehangaika kujenga maabara za kijeshi Ukraine na kama USA ingekuwa haitishiki na yeyote na inadharau nchi zingine kwa jinsi wewe unavyoona kwanini sasa atumie BAJETI KUBWA kusambaza MILITARY BASES dunia nzima?

Urafiki wa nchi na nchi tena wa haya mataifa makubwa hakuna wa kudumu na upo kimaslahi wote tunajua, but kwasasa CHINA, RUSSIA na NORTH KOREA ni marafiki na mimi ndo ninachosema kwakuwa ndo kilichopo kwa sasa...


Pamoja na USA kuwa top kwenye Uchumi, Teknolojia na kisilaha lakini hawezi kuridhika tu because wenzake pia hawalali, kwahiyo lazima na yeye aendelee kupigana kubaki pale alipo kwa kufanya kama anayofanya kila kukicha kudidimiza yeyote anayeonekana kuinuka...

Vita iko Kms 8000 toka Marekani, kama kawaida ya vita zote alizopigana na ndo lengo lake siku zote kuwa mtapigana naye lakini kwenye ardhi ya mtu mwingine ambaye ni Ukraine kwa sasa na ndo kitu Russia hakitaki yaani kuwe na BASE ya USA karibu naye.

Baada ya vita kwisha na baada ya Ukraine kubomolewa ndo tutaongelea faida na hasara... Tena naona USA na NATO yake watakavyohakikisha kummaliza PUTIN ili waje wajifanye wanatoa misaada kuitengeneza Ukraine wanayoshiriki kuibomoa kwasasa....
 
Kwenye Aya ya Mwisho. Mimi naona kabisa mwisho wa Putin na Russia jeuri. Muda hauna kikomo. Kama utabiri wa kidunia unasema lazima kuje kuwa na serikali moja duniani. Watu kama Putin wasiopendwa ndani na nje ya nchi wakiwa kama kikwazo wataondolewa ndani na nje Hadi hapo wote tutakapokuwa na lengo sawa. Ndio atainuka Kiongozi mmoja tu wa dunia.
 
Wamarekani walikuwa washajiandaa kuingia Venezuera, nini kilitokea baada ya mrusi kuingilia.
Tena walikuwa wanataka kusaidiwa na jeshi la korombia.
Kuna mtu humu amekomenti na kuogopa wakimbizi real
"Venezuera.... korombia. .."we Mrusi aroo hebu nenda karee kande hii kitu sio revo yako
 
Unaizungumzia hii,
au huku watu walikua hawafi na kuumia?
 
Watu hawataki vita. Hakuna alieufyata. Hakuna anaetaka kuanguka kwenye mtego wa huyo Schezophrenic Putin. Watu wanaangalia humanity kwanza. Hakuna anaemwogopa Putin. Sema watu wenye akili hawataki vita.
Siyo kweli kwamba hawataki Vita..,.Lengo la NATO ni kupata wanachama ambao kwa mahitaji ya Kiulinzi/vita ikitokea kwa Maslahi ya Nchi kama Marekani au Uingereza basi huko nyuma Nchi mfano Ukraine utakuta wameweka Military Base ili iwe rahisi kwao kumuattack adui Yao...... Na hii ndicho Mrusi hataki kifanyike ni kama vile kukuwekea Adui yako Mlangoni kwa Nyumba yako. Jiulize kwa nini NATO wanataka Ukraine.....!!!!? Ni kujiandaa na Vita huko mbeleni, Kumbuka Marekani vita vingi hapigani kutoka Inchini kwake ni kutoka Military Base zake, kwanini Marekani ililalamika sana Cuba kujiunga na Urusi baada tu ya kupata Uhuru? The same applies to Ukraine.
 
Kipindi Vladimir Putin akivuta bange zake uko ST. Petersburg
 
mwanzoni si alisema atakae sogeza pua atapigwa na nuclear na silaha za rad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…