Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

CCM Mpya wapagawa kwa hofu kuu Membe kujitokeza kudai haki ya kikatiba


Washindwa kujibu hoja za kada Bernard Membe kuhusu mchakato mzima wa demokrasia ndani ya CCM Mpya na uhuru wa Tume ya Uchaguzi kuelekea October 2020 ambapo Bernard Membe ameonesha nia ya kutaka akubaliwe kuchukua fomu ashindane na wanaCCM ndani ya chama kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi wa Urais unaohusisha demokrasia ya vyama vingi.
 
aaah vipi tena unawashitua bana?

waache wamnyime kugombea ili walikoroge machoni pa wadau wa maendeleo afu waipate fresh....
 
Si mwanachama wao
 
Kama form si atengeneze tu stationary kwani hajui ilivyo? Halafu ajaze, au hao VOA, BBC NA Aljazeera wa copy ilivyo wamjazishe.
Shida iko wapi?
 
Bashiru ashasema kuwa wakiwa wagombea wengi kunakuwa na wanao tumiwa na mabeberu
 
Mkuu tafadhali tupatie hiyo clip
Kuna huyo kimbelembele, bashiru mchumia tumbo, hata kubali maswala ya halmashauri kuu ya kitaifa, Kuna clip anasema jeshi liingilie Kati watu kuchukua form Zanzibar, haiwezekani form ziwe 12
 
Mabeberu na membe bwana!! Kwani mpaka ccm tu? Utaratibu wa ccm sianaujua?
Membe urais nihabari ya zilipendwa!
5yrs magufuri
15 yrs kabudi
Menbe atakuwa kishachoka.
 
CCM sio NEC...wao wanatoa form Kwa wanachama wao wenye sifa..ata USA wenyewe pamoja na madudu ya Trump..hakuna Republican yeyote aliyechukua form kugombea..same thing Kwa kipindi cha Obama's second term...wakifanya CCM inakua nongwa!!???
Acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…