Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Kwaiyo kigezo kikubwa walichopata hvyo vyombo vya habar ni kulalamika hadharani?Amekuwa wa kwanza kulalamika hadharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo kigezo kikubwa walichopata hvyo vyombo vya habar ni kulalamika hadharani?Amekuwa wa kwanza kulalamika hadharani
aaah vipi tena unawashitua bana?Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Si mwanachama waoHabari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Mkuu huoni kwamba huo ni ubabe?
last kick of a dying horseNdio ni ubabe.
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Kuna huyo kimbelembele, bashiru mchumia tumbo, hata kubali maswala ya halmashauri kuu ya kitaifa, Kuna clip anasema jeshi liingilie Kati watu kuchukua form Zanzibar, haiwezekani form ziwe 12
Hata akitangazwa na CNN au Fox news hatutampa form
Tunamsindikiza lini akachukue
Majeshi wakati mwingine huangalia raia wanataka nini na kuamua kuwaunga mkono.Siku majeshi yakijitambua ndio utakuwa mwisho wa sisiemu
Ccm ndio italeta vurugu katika hii nchi kwa maneno Kama haya.Hata mabeberu yakilala nje ya tume ya uchaguzi hapati sana sana tutayanyoa ndevu
Acha uongoCCM sio NEC...wao wanatoa form Kwa wanachama wao wenye sifa..ata USA wenyewe pamoja na madudu ya Trump..hakuna Republican yeyote aliyechukua form kugombea..same thing Kwa kipindi cha Obama's second term...wakifanya CCM inakua nongwa!!???
Sema ukweliAcha uongo
Usilinganishe siasa za USA na hivi viinimacho vyetu.Sema ukweli
Mbona unaongea kwa kutetemeka?
Lazima mtataga tu safari hiiMembe tumaini letu Chadema