Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

...Mnogeshaji uchaguzi ameonesha nia haya sasa mdundiko ndio unataka noga...maswali yakujiuliza ni Je ccm bara kuna democrasia? Je ni kweli JPM ataki upinzani ndani ya chama? Je chama kinaendeshwa kwa tamaduni au katiba? Je lolote laweza tokea kuanzia sasa mpaka kipindi cha uchaguzi?
 
June 22, 2020
Washington

VoA waongelea watia nia wa Urais kupitia CCM Bara na CCM Visiwani

Bernard Membe asema kama katiba ingefuatwa ndani ya CCM watia nia nafasi ya Urais wasinge pungua 6 au 7 na kunogesha demokrasia ndani ya CCM ili kupata aliye bora kupeperusha bendera ya CCM 2020

Source: Sauti ya Amerika VoA
 
Hivi CCM siku hiz inabadili gia angani kwa kutoa fomu kwa wagombea wasiokuwa wanachama wake. Hivi CCM kweli imekosa wagombea wenye sifa hadi itoe fomu kwa mgombea asiyekuwa mwanachama
 
Kuna huyo kimbelembele, bashiru mchumia tumbo, hata kubali maswala ya halmashauri kuu ya kitaifa, Kuna clip anasema jeshi liingilie Kati watu kuchukua form Zanzibar, haiwezekani form ziwe 12
Trump anasemaje kuhusu Membe?
 
ccm inaongozwa na wakimbizi , sasa hao wakimbizi huwa hataki demokrasia...Bashiru from Rwanda na Mkiti wao naye pia from Rwanda...hao wote ni M23...hilo ndo linamfanya Membe apate ujasiri
 
Ni kweli ila walitaka kumuua lisu Mungu akamkingia akakataa it wa God vs the unknown
Unaweza kuweka clip ya lissu kama Ile ya Goti inayotrend all over the world... Tafadhali ili twende sawa
 
Kama form si atengeneze tu stationary kwani hajui ilivyo? Halafu ajaze, au hao VOA, BBC NA Aljazeera wa copy ilivyo wamjazishe.
Shida iko wapi?
Hahaaaa,mkuu huo siyo utaratibu rasmi
 
Chama Cha mabombadier, masgr, mafyover, mastiglers kinaogopa kutoa fomu, tuliwaambia hayo ma project yenu hayawezi kumbeba mtu wenu,

Ona Sasa pigo takatifu linakuja kuwasambaratisha
Ni aibu sana kwa wapinzani kumtegemea Membe sasa hivi!..

Yani sasa hivi mmetelekeza hata Lisu sasa mnaimba Membe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…