Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Hapewi mtu hapa fomu si anajitia ujeuri kwanza alishafukuzwa wa nini huyo mende
 
Membe ni noma !
 
"Demokrasia" au Domocrazia ya CCM ndio hiyo. kama wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana ushenzi tusubiri tuone itakuwaje kwa wapinzani. Zanzibar mpo? Tanganyika mpo? Hapa fomu haitoki ng'oo huko kwingine fomu zitatoka lakini usishangae wengi washindwe kujaza itakiwavyo, wasijue wapi kwa kurudisha fomu, na wachelewe kurudisha fomu. Ukipita kihunzi hicho kazi ni moja tu ya kura kuyeyuka au uchaguzi kufutwa. Nasikia Prof. Jecha nae kachukua fomu huko zenji-sasa hilo si balaa.
 
Mungu wangu kumbe ndio maana hatuishi maisha ya kitanzania.....!
 
Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?

Wanaogopa hata mamluki anaweza kumshinda mzee kwenye mkutano mkuu![emoji24]

[emoji3][emoji3] [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ile kauli mbiu ya HAPA KAZI TUU sasa inaeleweka vizuuuri
 
Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?

Wanaogopa hata mamluki anaweza kumshinda mzee kwenye mkutano mkuu![emoji24]

Siku hizi hakuna maigizo wala kuzuga... KAZI IKO KAZINI mkuu
 
Membe akichua fomu hata Yesu wa Lumumba atampigia kura[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…