Mi ni ccm damu ninayejitambuaNi aibu sana kwa wapinzani kumtegemea Membe sasa hivi!..
Yani sasa hivi mmetelekeza hata Lisu sasa mnaimba Membe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni ccm damu ninayejitambuaNi aibu sana kwa wapinzani kumtegemea Membe sasa hivi!..
Yani sasa hivi mmetelekeza hata Lisu sasa mnaimba Membe tu
Mpeni Membe form bc, shida iko wp?? Mnaogopa nnNi aibu sana kwa wapinzani kumtegemea Membe sasa hivi!..
Yani sasa hivi mmetelekeza hata Lisu sasa mnaimba Membe tu
Membe ni noma !Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Aibu ni mpendwa wetu au wapambe wake kuogopa ushindani FULLSTOPNi aibu sana kwa wapinzani kumtegemea Membe sasa hivi!..
Yani sasa hivi mmetelekeza hata Lisu sasa mnaimba Membe tu
Tunaipataje na mmeng'oa ccctv camera?Unaweza kuweka clip ya lissu kama Ile ya Goti inayotrend all over the world... Tafadhali ili twende sawa
Membe tumaini letu Chadema
Huishi uchokozi mkuu hahahaaa
Anaomba kamati nirudishe uanachama ili aweze kugombeaNahisi upstair kumeyumba
Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?
Wanaogopa hata mamluki anaweza kumshinda mzee kwenye mkutano mkuu![emoji24]
Ila Magufuli nae sasa angempisha tu Membe. Kuwa na rais asiejua kidhungu kwa miaka kumi, dah[emoji848]
Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?
Wanaogopa hata mamluki anaweza kumshinda mzee kwenye mkutano mkuu![emoji24]
Mabeberu na membe bwana!! Kwani mpaka ccm tu? Utaratibu wa ccm sianaujua?
Membe urais nihabari ya zilipendwa!
5yrs magufuri
15 yrs kabudi
Menbe atakuwa kishachoka.
Membe akichua fomu hata Yesu wa Lumumba atampigia kura[emoji3]Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.
Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?
Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Nawe mkata mauno wa Lumumba unatoa fomu?Hata akitangazwa na CNN au Fox news hatutampa form