Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Chama Cha mabombadier, masgr, mafyover, mastiglers kinaogopa kutoa fomu, tuliwaambia hayo ma project yenu hayawezi kumbeba mtu wenu,

Ona Sasa pigo takatifu linakuja kuwasambaratisha
hahahahahahaaaa . . b.eti chama cha masgr . . .yaani nimecheka mpaka basi
 
Nakuhakikishia hawathubutu kamwe kumpa huyu bwana fomu! ccm ni waoga nyie acheni tu, wameamua kulindana kwa njia za dhuluma kabisa!
 
Kuna huyo kimbelembele, bashiru mchumia tumbo, hata kubali maswala ya halmashauri kuu ya kitaifa, Kuna clip anasema jeshi liingilie Kati watu kuchukua form Zanzibar, haiwezekani form ziwe 12
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
 
Hata akitangazwa na CNN au Fox news hatutampa form
Halafu hii ya mtu kutangaza kugombea U-rais akiwa yuko nje ya nchi imekaaje? Ifike mahali tuweke kipengele kwenye Katiba kwamba mtu atatangaza kugombe U-rais akiwa ndani ya nchi, na kana atafanya hivyo akiwa nje ya nchi uchukuliwe kuwa ni uhaini! Na pia aruhusiwe kugombea akiwa tu amekuwa ndani ya nchi kwa kipindi kisichopungua miezi sita (6), kabla ya tarehe ya uchaguzi mkuu. Hii itasaidia kwa sababu kuna mtu anaweza akaondoka nchini akaenda akakaa huko nje halafu anarudi nchini miezi mitatu kabla ya uchaguzi, nia kuja kuvuruga uchaguzi tu halafu ukiissha anaondoka tena. Kwa hiyo mbali na kuwa raia wa JMT, anatakiwa pia awe amekuwepo nchini physically, angalau miezi sita kabla ya tarehe ya uchaguzi mkuu!
Hivi kwa mfano kwa mataifa makubwa kama Marekani, mtu anaweza akatangaza kugombea U-rais wa Marekani akiwa nje ya Marekani, kisa tu ni raia wa Marekani?
 
Kati ya ccm na wapinzani, nani huwa anavuruga uchaguzi ?
Jibu kama mtu mwenye sound mind , usijibu kama robot wa Lumumba b7
 
Kwahiyo saivi chama kinaendeshwa na VOA? Si akachukue form agombee USA si nako kuna uchaguzi
 
Kumbe international media zinamfagilia pia? Basi kuna jambo hapo.
 
Unaweza ukawa uko sahihi. Yuko smart mno kiasi kwamba hawezi kufikia hatua ya kuhatarisha maisha yake to this level. Na kama unachosema kitakuwa kiko sahihi, basi atakuwa ameshauriwa na wahusika wenyewe, na the chances ni kwamba 2025 lazima atachukua! Nimejaribu kuangalia hata hadhira aliyokuwa anaongea nayo, ni watu wachache tu kama wanafamilia wa nyumbani au wanakijiji, sema tu kwa sababu kulikuwa na media. You might be right. Ila kama ni vinginevyo, basi atakuwa ni jasiri ambaye huwa haogopi chochote, kwa sababu anachojaribu kufanya ni hatari sana, si kwake tu, bali kwa nchi pia
 
Nimesomea ubaharia wa kimataifa kama Le Mutuz
Kwa hiyo A's ulipata za masomo gani? Ubaharia ni ujuzi, hata ambaye si kipanga anaweza kuwa baharia. A's ulizokuuwa unapata ni za masomo gani sasa? Taja tu angalau somo moja!
 
Mimi naamini Membe anafanya maigizo kuwachanganya wasiokuwa wana-Siasa. Hakuna kitu hatarikwa nchi kama anachojaribu kufanya, kama ni kweli basi hakitatokea!
 
Hii imekaa vizuri. Hata sheria za kodi hazitamtambui mtu ambaye amekuwepo nchini chini ya siku 122 kama mlipa kodi
 
Hii imekaa vizuri. Hata sheria za kodi hazitamtambui mtu ambaye amekuwepo nchini chini ya siku 122 kama mlipa kodi
Ndugu yangu nashukuru sana kwa compliments. Mtu atangaze akiwa ndani ya nchi na kwa kutumia media za ndani ya nchi, na akimaliza kutangaza akitoka kwenye press, analakiwa na wa-Tanzania wengine wanaotarajia kumpigia kura. Wapige marufuku kabisa hii misbeahaviour mwishowe itakuja kutudhalilisha huko mbele ya safari kama nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…