Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Chama Cha mabombadier, masgr, mafyover, mastiglers kinaogopa kutoa fomu, tuliwaambia hayo ma project yenu hayawezi kumbeba mtu wenu,

Ona Sasa pigo takatifu linakuja kuwasambaratisha
hahahahahahaaaa . . b.eti chama cha masgr . . .yaani nimecheka mpaka basi
 
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.

Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?

Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Nakuhakikishia hawathubutu kamwe kumpa huyu bwana fomu! ccm ni waoga nyie acheni tu, wameamua kulindana kwa njia za dhuluma kabisa!
 
Kuna huyo kimbelembele, bashiru mchumia tumbo, hata kubali maswala ya halmashauri kuu ya kitaifa, Kuna clip anasema jeshi liingilie Kati watu kuchukua form Zanzibar, haiwezekani form ziwe 12
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
 
Hata akitangazwa na CNN au Fox news hatutampa form
Halafu hii ya mtu kutangaza kugombea U-rais akiwa yuko nje ya nchi imekaaje? Ifike mahali tuweke kipengele kwenye Katiba kwamba mtu atatangaza kugombe U-rais akiwa ndani ya nchi, na kana atafanya hivyo akiwa nje ya nchi uchukuliwe kuwa ni uhaini! Na pia aruhusiwe kugombea akiwa tu amekuwa ndani ya nchi kwa kipindi kisichopungua miezi sita (6), kabla ya tarehe ya uchaguzi mkuu. Hii itasaidia kwa sababu kuna mtu anaweza akaondoka nchini akaenda akakaa huko nje halafu anarudi nchini miezi mitatu kabla ya uchaguzi, nia kuja kuvuruga uchaguzi tu halafu ukiissha anaondoka tena. Kwa hiyo mbali na kuwa raia wa JMT, anatakiwa pia awe amekuwepo nchini physically, angalau miezi sita kabla ya tarehe ya uchaguzi mkuu!
Hivi kwa mfano kwa mataifa makubwa kama Marekani, mtu anaweza akatangaza kugombea U-rais wa Marekani akiwa nje ya Marekani, kisa tu ni raia wa Marekani?
 
Kati ya ccm na wapinzani, nani huwa anavuruga uchaguzi ?
Jibu kama mtu mwenye sound mind , usijibu kama robot wa Lumumba b7
 
Kwahiyo saivi chama kinaendeshwa na VOA? Si akachukue form agombee USA si nako kuna uchaguzi
 
Kumbe international media zinamfagilia pia? Basi kuna jambo hapo.
 
Usikute membe anaandaliwa kuwa rais ajae baada ya magufuli! So hii ndo miaka ya kuanza kumspot ili kazi itakayokuja iwe nyepesi!!
Wacheni kwanza sahivi atengeneze wafuasi halafu kuonekane ccm kama vile kuna kampasuko! Then 2025 watakuja kusema wanaacha tofauti zao na kumsimamisha membe ambae tayari atakuwa ameshatengenezewa pick kubwa tu!.. naona hata hapa upinzani kama wanamuelewa hivi..😅

Membe namuona kama kiungo fulani tu ambae lazima achezeshwe ili mechi ichezwe.. I mean jasusi la kisiasa!!
Unaweza ukawa uko sahihi. Yuko smart mno kiasi kwamba hawezi kufikia hatua ya kuhatarisha maisha yake to this level. Na kama unachosema kitakuwa kiko sahihi, basi atakuwa ameshauriwa na wahusika wenyewe, na the chances ni kwamba 2025 lazima atachukua! Nimejaribu kuangalia hata hadhira aliyokuwa anaongea nayo, ni watu wachache tu kama wanafamilia wa nyumbani au wanakijiji, sema tu kwa sababu kulikuwa na media. You might be right. Ila kama ni vinginevyo, basi atakuwa ni jasiri ambaye huwa haogopi chochote, kwa sababu anachojaribu kufanya ni hatari sana, si kwake tu, bali kwa nchi pia
 
Nimesomea ubaharia wa kimataifa kama Le Mutuz
Kwa hiyo A's ulipata za masomo gani? Ubaharia ni ujuzi, hata ambaye si kipanga anaweza kuwa baharia. A's ulizokuuwa unapata ni za masomo gani sasa? Taja tu angalau somo moja!
 
Aljazeera ni mkoa gani katika Tanzania?

Habari muipeleke nyinyi halafu mtusumbuwe sisi?

Yeye membe ni mwanachama wa CCM?

Je sisi tunachaguliwa Rais na vyombo vya nje?

Hiyo aljazeera inamilikiwa na Qatar nchi ambayo imetengwa na jumuia ya nchi nyingi za kiarabu kwa tuhuma za kufadhili wanamgambo wa ISIS.

Wayatangaze kwanza hayo, hizi mbinu za mtandao wa membe zinanikumbusha enzi za mtandao wa Kikwete na Lowassa!

Mwambieni membe hii mbinu ya kuhonga watangazaji wenye njaa wanaowakilisha mashirika haya makubwa ya habari tunaijua.

Aljazeera ni shirika kubwa,

Ila watangazaji wake ni binadamu wa kawaida kabisa na wana mahitaji yao ya kawaida na ndio maana wanalipwa mishahara.

Hivyo kutumika kwao ni jambo la kawaida kabisa.
Mimi naamini Membe anafanya maigizo kuwachanganya wasiokuwa wana-Siasa. Hakuna kitu hatarikwa nchi kama anachojaribu kufanya, kama ni kweli basi hakitatokea!
 
Halafu hii ya mtu kutangaza kugombea U-rais akiwa yuko nje ya nchi imekaaje? Ifike mahali tuweke kipengele kwenye Katiba kwamba mtu atatangaza kugombe U-rais akiwa ndani ya nchi, na kana atafanya hivyo akiwa nje ya nchi uchukuliwe kuwa ni uhaini! Na pia aruhusiwe kugombea akiwa tu amekuwa ndani ya nchi kwa kipindi kisichopungua miezi sita (6), kabla ya tarehe ya uchaguzi mkuu. Hii itasaidia kwa sababu kuna mtu anaweza akaondoka nchini akaenda akakaa huko nje halafu anarudi nchini miezi mitatu kabla ya uchaguzi, nia kuja kuvuruga uchaguzi tu halafu ukiissha anaondoka tena. Kwa hiyo mbali na kuwa raia wa JMT, anatakiwa pia awe amekuwepo nchini physically, angalau miezi sita kabla ya tarehe ya uchaguzi mkuu!
Hivi kwa mfano kwa mataifa makubwa kama Marekani, mtu anaweza akatangaza kugombea U-rais wa Marekani akiwa nje ya Marekani, kisa tu ni raia wa Marekani?
Hii imekaa vizuri. Hata sheria za kodi hazitamtambui mtu ambaye amekuwepo nchini chini ya siku 122 kama mlipa kodi
 
Hii imekaa vizuri. Hata sheria za kodi hazitamtambui mtu ambaye amekuwepo nchini chini ya siku 122 kama mlipa kodi
Ndugu yangu nashukuru sana kwa compliments. Mtu atangaze akiwa ndani ya nchi na kwa kutumia media za ndani ya nchi, na akimaliza kutangaza akitoka kwenye press, analakiwa na wa-Tanzania wengine wanaotarajia kumpigia kura. Wapige marufuku kabisa hii misbeahaviour mwishowe itakuja kutudhalilisha huko mbele ya safari kama nchi!
 
Back
Top Bottom