Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Ni aibu sana kwa wapinzani kumtegemea Membe sasa hivi!..

Yani sasa hivi mmetelekeza hata Lisu sasa mnaimba Membe tu
Ndani ya CCM hakuna demokrasia ni ubabe tu, ndio maana miaka 50 nchi haina maji safi na salama.
 
Kusoma hatujui hata picha hatuoni membe akichukua hii nchi tumeisha tutarudi kwenye ufisadi wa enzi za kikwete. Au tunafikiri wao ni wajinga kumpigia debe membe
Ufisadi ndani ya CCM huwa hauishi, amka boya wewe.
 
CCM hawawezi mpa fomu
 
 
Huyu Membe akikubaliwa Kura zitapigwa wazi wazi ili waonekane wasaliti. Zikipigwa sirini tu ndio UNO bye bye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa sababu mnajua fika kwamba dikteta has nothing in his upstairs as compared to Membe. Atapigwa MWELEKA MKUBWA arudi chato akafuge sungura. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
CCM hawawezi mpa fomu
Hii ni sawa na Dynamite unaijua? Hapa sasa mtu anatembea nayo ikiwa mfukoni, halafu timer yake imebakiza sekunde kadhaa tu. Watu wanajadili hii thread utafikiri wako kwenye thread ya vibonzo vya Masoud Kipanya. Hiki kitu kinachotaka kufanyika hapa,is something very different, assuming huyu mtu kweli yuko serious! Sijui kama atafanikiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…