Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Ni aibu sana kwa wapinzani kumtegemea Membe sasa hivi!..

Yani sasa hivi mmetelekeza hata Lisu sasa mnaimba Membe tu
Ndani ya CCM hakuna demokrasia ni ubabe tu, ndio maana miaka 50 nchi haina maji safi na salama.
 
Kusoma hatujui hata picha hatuoni membe akichukua hii nchi tumeisha tutarudi kwenye ufisadi wa enzi za kikwete. Au tunafikiri wao ni wajinga kumpigia debe membe
Ufisadi ndani ya CCM huwa hauishi, amka boya wewe.
 
CCM hawawezi mpa fomu
June 22, 2020
Lagos, Nigeria

Ex-Tanzania minister to challenge Magufuli for ruling party ticket


Published on 22 Jun 2020
A former Tanzanian foreign minister is set to challenge president John Magufuli, for the ruling party's nomination for presidential candidate ahead of keenly awaited polls. Bernard Membe has asked the Central Committee of the governing Chama Cha Mapinduzi, CCM, party to allow him challenge the incumbent for the party's candidature. The CCM party has governed the country for more than four decades since independence.
Source : Africanews
 
Trump, Boris na Angel Merkel waligombea na nani duru la pili ili kuonesha Demokrasia hiyo tunapambana kila siku, Africa tuacheni unafiki, tutaendelea kupingiwa viongozi milele.

Membe kama ni maarufuku anavyotaka tuamini agombee hata UDP, tuone kama atafikisha hata kura 2000. Membe Kikwete alimbeba sana kajisahau anajiona maarufuku sana.


Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.

Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?

Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
 
Huyu Membe akikubaliwa Kura zitapigwa wazi wazi ili waonekane wasaliti. Zikipigwa sirini tu ndio UNO bye bye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa sababu mnajua fika kwamba dikteta has nothing in his upstairs as compared to Membe. Atapigwa MWELEKA MKUBWA arudi chato akafuge sungura. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
CCM hawawezi mpa fomu
Hii ni sawa na Dynamite unaijua? Hapa sasa mtu anatembea nayo ikiwa mfukoni, halafu timer yake imebakiza sekunde kadhaa tu. Watu wanajadili hii thread utafikiri wako kwenye thread ya vibonzo vya Masoud Kipanya. Hiki kitu kinachotaka kufanyika hapa,is something very different, assuming huyu mtu kweli yuko serious! Sijui kama atafanikiwa!
 
Back
Top Bottom