Hapana, Membe ni mwanaCCM kindaki ndaki kuliko wewe.Wampe ACT achukue form huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, Membe ni mwanaCCM kindaki ndaki kuliko wewe.Wampe ACT achukue form huko.
PhD za makada wa chama hizoBashiru ashasema kuwa wakiwa wagombea wengi kunakuwa na wanao tumiwa na mabeberu
Sasa wewe uko upande gani? Unapingana na pande zote?Mngekuwa mnajali maslahi ya taifa mngefanya kinachotakiwa kufanywa
Utawala wa Magufuli unaonekana wa kijinga lakini unasumbua sana watu wengi Afrika/duniani kuliko tawala zilizotangulia.Kumbe na Africanews wametangaza
Polisi wetu wanawaogopa wazungu kama ukoma, kwa sababu hawajui lugha za wazungu.Hahahah... ni kweli ata police wetu hawajawahi kumkaba MTU(mzungu) Kwa kutumia goti mpaka akafa...
Bahati mbaya CCTV Cameras ziliondolewa angekuwekea ili uone.Unaweza kuweka clip ya lissu kama Ile ya Goti inayotrend all over the world... Tafadhali ili twende sawa
Ndani ya CCM hakuna demokrasia ni ubabe tu, ndio maana miaka 50 nchi haina maji safi na salama.Ni aibu sana kwa wapinzani kumtegemea Membe sasa hivi!..
Yani sasa hivi mmetelekeza hata Lisu sasa mnaimba Membe tu
PhD za makada wa chama hizo
Weka hapa copy ya barua ya kufukuzwa CCMHapewi mtu hapa fomu si anajitia ujeuri kwanza alishafukuzwa wa nini huyo mende
Membe achukue fomu tuthibitishe JPM anavyopendwa.Jembe ilo, Membe atasubiri sana na km ilivyo confidential 2025 anaeingia lazma awe Bakwata ndio kijiti kinavyosema. Apo asubiri mpaka 2035 labdaView attachment 1486467
Hata akitangazwa na CNN au Fox news hatutampa form
Akachukue fomu huko huko BBC na VOA shenzi typ
Ufisadi ndani ya CCM huwa hauishi, amka boya wewe.Kusoma hatujui hata picha hatuoni membe akichukua hii nchi tumeisha tutarudi kwenye ufisadi wa enzi za kikwete. Au tunafikiri wao ni wajinga kumpigia debe membe
June 22, 2020
Lagos, Nigeria
Ex-Tanzania minister to challenge Magufuli for ruling party ticket
Published on 22 Jun 2020
A former Tanzanian foreign minister is set to challenge president John Magufuli, for the ruling party's nomination for presidential candidate ahead of keenly awaited polls. Bernard Membe has asked the Central Committee of the governing Chama Cha Mapinduzi, CCM, party to allow him challenge the incumbent for the party's candidature. The CCM party has governed the country for more than four decades since independence.
Source : Africanews
Mtoa mada unahisi kwanini Membe tu ndo atangazwe huko kati ya wote wenye nia na waliochukua form?
Membe anakutisha eeeh? , unahofia familia yako itaishije Membe akipita [emoji3]
Trump, Boris na Angel Merkel waligombea na nani duru la pili ili kuonesha Demokrasia hiyo tunapambana kila siku, Africa tuacheni unafiki, tutaendelea kupingiwa viongozi milele.
Membe kama ni maarufuku anavyotaka tuamini agombee hata UDP, tuone kama atafikisha hata kura 2000. Membe Kikwete alimbeba sana kajisahau anajiona maarufuku sana.
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA,BBC na Al Jazeera.
Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?
Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa sababu mnajua fika kwamba dikteta has nothing in his upstairs as compared to Membe. Atapigwa MWELEKA MKUBWA arudi chato akafuge sungura. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Wanaogopa kamati kuu inaweza kumpitisha bahati mbaya.
Hii ni sawa na Dynamite unaijua? Hapa sasa mtu anatembea nayo ikiwa mfukoni, halafu timer yake imebakiza sekunde kadhaa tu. Watu wanajadili hii thread utafikiri wako kwenye thread ya vibonzo vya Masoud Kipanya. Hiki kitu kinachotaka kufanyika hapa,is something very different, assuming huyu mtu kweli yuko serious! Sijui kama atafanikiwa!CCM hawawezi mpa fomu