Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Kuna watu wana hasira basi tu wanalinda Ugali wao
Ina maana CCM wanaogopa hata kuandaa mamluki azuge kama vile anashindana na JPM?

Wanaogopa hata mamluki anaweza kumshinda mzee kwenye mkutano mkuu![emoji24]
 
If truth be said Membe anapiga chini mwenyekiti mapema tuu.Ku prempt aibu lazima kumzui kuchukua fomu kwa gharama yeyeto ile.
Mwenyekiti mbona kafanya makubwa sana, tuna ndege zetu, tumeanza ujenzi wa reli ya kisasa, tumefanikiwa kuzuia sauti za wapinzani, n.k. unafikiri ni rahisi kupigwa chini?
 
Halafu hii ya mtu kutangaza kugombea U-rais akiwa yuko nje ya nchi imekaaje? Ifike mahali tuweke kipengele kwenye Katiba kwamba mtu atatangaza kugombe U-rais akiwa ndani ya nchi, na kana atafanya hivyo akiwa nje ya nchi uchukuliwe kuwa ni uhaini! Na pia aruhusiwe kugombea akiwa tu amekuwa ndani ya nchi kwa kipindi kisichopungua miezi sita (6), kabla ya tarehe ya uchaguzi mkuu. Hii itasaidia kwa sababu kuna mtu anaweza akaondoka nchini akaenda akakaa huko nje halafu anarudi nchini miezi mitatu kabla ya uchaguzi, nia kuja kuvuruga uchaguzi tu halafu ukiissha anaondoka tena. Kwa hiyo mbali na kuwa raia wa JMT, anatakiwa pia awe amekuwepo nchini physically, angalau miezi sita kabla ya tarehe ya uchaguzi mkuu!
Hivi kwa mfano kwa mataifa makubwa kama Marekani, mtu anaweza akatangaza kugombea U-rais wa Marekani akiwa nje ya Marekani, kisa tu ni raia wa Marekani?
Haya ndio mawazo na akili za wanaCCM, yaani hata ukiwa kwenye majukumu ya kikazi kama balozi nje ya nchi unakuwa huna haki ya kugombea urais.

Huwezi kunishawishi nikawa chama kimoja na mtu mwenye mawazo kama haya.
 
Haya ndio mawazo na akili za wanaCCM, yaani hata ukiwa kwenye majukumu ya kikazi kama balozi nje ya nchi unakuwa huna haki ya kugombea urais.

Huwezi kunishawishi nikawa chama kimoja na mtu mwenye mawazo kama haya.
Balozi zetu zote nje ya JMT ni sehemu ya JMT. Balozi zote za nchi marafiki zilizoko ndani ya JMT siyo sehemu ya JMT bali ni sehemu ya nchi hizo. Wewe hapo ulipo sasa hivi ukienda Ubalozi tuseme wa Uingereza, kipindi chote utakachokuwa ndani ya Ubalozi huo, utakuwa uko chini ya mamlaka ya Uingereza na si Tanzania. Ubalozi wa Uingereza si sehemu ya JMT
 
Na wanajua kwenye ule mkutano mkuu Magu atapata kura nne,ya kwake mwenyewe,bashiru,polepole na bulembo(kama yupo)
😂😂😂😂😂😂 Kwa sababu mnajua fika kwamba dikteta has nothing in his upstairs as compared to Membe. Atapigwa MWELEKA MKUBWA arudi chato akafuge sungura. 😜😜😜😜😜
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
https://www.bloomberg.com › t...
Africa Political News, Tanzania: Challenger to John Magufuli - Bloomberg

1 day ago · A former foreign minister wants to challenge Tanzania's incumbent leader, John Magufuli, for the ruling party's nomination for


Source : video courtesy of : Lindi Yetu TV

Mkuu huwa nafuatilia sana post zako napenda unavyowekaga source na kutoa acknowledgement. Napenda sana hiki unachofanya nimeona nikupe pongezi leo ulitakiwa upewe tuzo ya Intellectual property advocate!!
 
Balozi zetu zote nje ya JMT ni sehemu ya JMT. Balozi zote za nchi marafiki zilizoko ndani ya JMT siyo sehemu ya JMT bali ni sehemu ya nchi hizo. Wewe hapo ulipo sasa hivi ukienda Ubalozi tuseme wa Uingereza, kipindi chote utakachokuwa ndani ya Ubalozi huo, utakuwa uko chini ya mamlaka ya Uingereza na si Tanzania. Ubalozi wa Uingereza si sehemu ya JMT
Upo sawa kabisa, hongera kwa jibu zuri!! Vipi kama nipo nje na nafanya kazi UN au shirika lingine lolote.
 
Upo sawa kabisa, hongera kwa jibu zuri!! Vipi kama nipo nje na nafanya kazi UN au shirika lingine lolote.
Kwa case hiyo, unakuwa uko nje ya nchi kwa ridhaa ya JMT, na kwa majukumu yanayoeleweka na Serikali ya JMT. Kumbuka kuwa sheria ikishapitishwa, lazima piaa iwe na provisions za exceptions. Kumbuka pia kuwa mwingine anaweza akawa ni mgonjwa yuko nje kimatibabu. Kwa hiyo hii itawahusu wale tu wasiokuwa na sababu za msingi za kuendelea kukaa nje ya Nchi. Mtu kwa mfano ameshafukuzwa hadi Ubunge kwa utoro Bungeni, bado tena ana-qualify kugombea Urais na anatangaza nia akiwa nje ya Nchi!
 
swala la kujiuliza ni kwanini JASUSI MBOBEZI anajeuli sana?
kwa nini ndani ya ccm yote wanamgwaya sana meko?
Inaonekana Mbobezi jasusi anasiri nzito sana inayomhusu mekeo !!


tuye tuye choma choma 2020🤔
 
Mnamuogopa sana huyu mwamba wa Kusini.

Anataka kunogesha uchaguzi, hivi una akili timamu unamsapoti membe eti akanogeshe uchaguzi?
Anadhani jambo la uchaguzi ni sawa kufanya ya kitchen party?

Mi nadhani washabiki wake nendeni mumchague awe mwenyekiti wa kamati za harusi tanzania ili awe anasherehesha.
 
Membe kasema yake na kafika mwisho wa kituo. Sasa ni juu wananchi wapendao demokrasia, maendeleo, amani, maelewano, wapendao kufuata katiba na maridhiano kusema na kutenda yetu ya moyoni.

Nchi isitekwe na akina makonda wanaotugawa na kusema eti Tanzania iko mikononi mwa kanisa na wote tukapiga makofi. Chini ya Rais asiyeheshimu si katiba ya chama wala ya nchi nasi tukaendelea kupiga makofi. Chini ya waziri anayethubutu kukata wagombea 90% ya wapinzani serikali za mitaa nasi tukasema hewala. Sasa imetosha hata kama ikiwa ni kwa kigezo cha ujenzi wa fly over, SGR, nk
 
Back
Top Bottom