Uchaguzi 2020 VoA, BBC na Al Jazeera watangaza habari za Membe juu ya Uanachama wake na nia yake ya kugombea Urais kwa kupitia tiketi ya CCM

Anataka kunogesha uchaguzi, hivi una akili timamu unamsapoti membe eti akanogeshe uchaguzi?
Anadhani jambo la uchaguzi ni sawa kufanya ya kitchen party?

Mi nadhani washabiki wake nendeni mumchague awe mwenyekiti wa kamati za harusi tanzania ili awe anasherehesha.
mwacheni achukue fomu muone atakavyonogesha, mpisheni mnogeshaji jamaani uchaguzi unoge unaraha yake
 
Wewe unaniambia sina akili timamu ulitaka nikuchekee au nyie pimbi wa CCM humu mnajiona mnayo haki ya kutukana watu mkijibiwa vilivyo mnakimbilia kuomba tupigwe ban. Wacha ujinga jiheshimu ili uheshimiwe.

Tulizana kijana, nendeni na membe mkanogeshe party za harusi, huku kwenye uchaguzi ni watu wanaohitaji kutafakari maisha ya watanzania na sio kunogesha uchaguzi.
 
mwacheni achukue fomu muone atakavyonogesha, mpisheni mnogeshaji jamaani uchaguzi unoge unaraha yake

Huku CCM wagombea wako serious na kuwatumikia wananchi,
Akitaka kunogesha aende upinzani akanogeshe kama alivyokuwa akifanya babu Duni 2015.
 
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA, BBC na Al Jazeera.

Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?

Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Magufuli anaogopa mpaka kivuli chake.

Kutegemea na atakavyoamka, anaweza kukikata kisigombee urais.
 
😂😂😂😂😂😂 Kwa sababu mnajua fika kwamba dikteta has nothing in his upstairs as compared to Membe. Atapigwa MWELEKA MKUBWA arudi chato akafuge sungura. 😜😜😜😜😜
Ana tausi sasa hivi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA, BBC na Al Jazeera.

Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?

Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Yuko wapi Juakali apaze sauti kwanini Membe asipewe fomu!! Alisema CDM hakuna demokrasia sasa huu utopolo CCM hauoni.
 
VoA,BBC na Al Jazeera's kwani wao ndio akina nani hadi tuwasikilize wanachotangaza kiwe chetu? Vyombo vya maslahi yao hivyo. Mbona CGTN, RTV na et al hawajatangaza. Mwambie afuate taratibu zote za kichama kama unataka awe mchukua fomu. To close with, he is not a CCM party member.

Back
Top Bottom