900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
baada ya mawasiliano kukamilika na Bashiru kama mwenyekiti atamruhusu kuprint fomu ya piliTunamsindikiza lini akachukue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baada ya mawasiliano kukamilika na Bashiru kama mwenyekiti atamruhusu kuprint fomu ya piliTunamsindikiza lini akachukue
baada ya mawasiliano kukamilika na Bashiru kama mwenyekiti atamruhusu kuprint fomu ya pili
kwanini meandaa nyingi c huwa mna kale kautamaduni kenu ka miaka10, au awamu hii meona jiwe hafai tena 5 zinamtoshaFomu zipo nyingi
ahaha laiti ccm wangekuwa na uvumilivu kama mabeberu kwa jinsi wanavyowatukana humu kila siku,eti kitu kidogo mabeberuMabeberu wanaonewa bureeee
mwacheni achukue fomu muone atakavyonogesha, mpisheni mnogeshaji jamaani uchaguzi unoge unaraha yakeAnataka kunogesha uchaguzi, hivi una akili timamu unamsapoti membe eti akanogeshe uchaguzi?
Anadhani jambo la uchaguzi ni sawa kufanya ya kitchen party?
Mi nadhani washabiki wake nendeni mumchague awe mwenyekiti wa kamati za harusi tanzania ili awe anasherehesha.
Wewe unaniambia sina akili timamu ulitaka nikuchekee au nyie pimbi wa CCM humu mnajiona mnayo haki ya kutukana watu mkijibiwa vilivyo mnakimbilia kuomba tupigwe ban. Wacha ujinga jiheshimu ili uheshimiwe.
Kwani tukiwa na rais dikteta , mabeberu wanapungukiwa nini?huoni ndo kuudhihirishia ulimwengu udikteta unaozungumziwa kuhusu serikali ya jpm
mwacheni achukue fomu muone atakavyonogesha, mpisheni mnogeshaji jamaani uchaguzi unoge unaraha yake
ahaha laiti ccm wangekuwa na uvumilivu kama mabeberu kwa jinsi wanavyowatukana humu kila siku,eti kitu kidogo mabeberu
watanzania ndo watakaopungukiwaKwani tukiwa na rais dikteta , mabeberu wanapungukiwa nini?
Magufuli anaogopa mpaka kivuli chake.Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA, BBC na Al Jazeera.
Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?
Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Nchi ili ipige hatua ndefu kiuchumi tunahitaji dikteta, ila awe dikteta mwenye akiliwatanzania ndo watakaopungukiwa
Kule kwetu mara gecha maana yake ni kuchinja, sasa hofu yangu jecha anaweza kuwagecha wagombea wenzake hata kabla ya uchaguzi kufanyika na kujitangaza mshindi
Ana tausi sasa hivi😂😂😂😂😂😂 Kwa sababu mnajua fika kwamba dikteta has nothing in his upstairs as compared to Membe. Atapigwa MWELEKA MKUBWA arudi chato akafuge sungura. 😜😜😜😜😜
Yuko wapi Juakali apaze sauti kwanini Membe asipewe fomu!! Alisema CDM hakuna demokrasia sasa huu utopolo CCM hauoni.Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA, BBC na Al Jazeera.
Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?
Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Habari ya Membe kuhusu uwanachama wake na kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM imetangwazwa kupitia vituo vya televisions kama VoA, BBC na Al Jazeera.
Nilichukulia poa sana swala lake kumbe ni habari kubwa sana.Natoa rai kwa CCM kutoa fomu ili Membe achukue baadae si mnamkata hofu ya nini?
Angalau CCM itaonekana wamefuata misingi ya demokrasia kuliko kuonekane kuna ubabe unafanyika kwa baadhi ya viongozi kwa maslahi yao
Benard Membe hana uwoga na anajiamini, ana haki kabisa kabisa kabisa ya kugombea Urais ndani ya CCM. Analindwa na Katiba na si utamaduni au huo utaratibu wako.Ccm inautaratibu wake